comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,940
Ameenda na wakalimani wangapi
yule mzigua yuko fiti sana kuliko yule wa Iringa hahahahahaha
Ameenda na wakalimani wangapi
Atageuza pangaboi angani gaflaYupo amerudi ghafla
Atageuza pangaboi angani gafla
Kuhusu picha ya kwanza naomba kuuliza hivi kiitifaki si ilipaswa bashie awe kushoto halafu rais awe kulia kwasababu ndiye mkubwa? Halafu hivi kazi ya body guard wa rais ni kumlinda au kubeba mkoba wa rais? Sasa kukiwa na dhahama atafanyaje wakati huo huo amebeba mkoba?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Jumatano ya Februari 21,2018 ameondoka jijini Dar es Salaam kuelekea kKmpala nchini Uganda kushiriki mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika Kampala nchini Uganda.
View attachment 699047
Akiondoka nchini uwanja wa JNIA
View attachment 699048
Akiwa ameshawasili Uganda
View attachment 699070
View attachment 699071
Sasa ana shida gani hadi akonde? Hana mtoto wa kumpa majukumu makubwa wala kumsomesha pesa anazo za kula yeye na nkewe cha zaidi nini? Uhakika wa kazi bila kuguswa kuhusu cheti anao kutokana na protection ya mfalme. Why should he worry?Makonda kanenepa
My loveGood one!
Remain blessed JPM
Long may he reign!
Kuhusu picha ya kwanza naomba kuuliza hivi kiitifaki si ilipaswa bashie awe kushoto halafu rais awe kulia kwasababu ndiye mkubwa? Halafu hivi kazi ya body guard wa rais ni kumlinda au kubeba mkoba wa rais? Sasa kukiwa na dhahama atafanyaje wakati huo huo amebeba mkoba?
Yes my dearest!My love
Kikwete alikwisha fanya ziara kwa niaba yake huko ulaya,acha mkulu awarudishe kwenye mstari watukutu nyienchi zake ni uganda,rwanda na kenya kidogo ulaya ana aleji