Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

niliposoma kichwa cha habari nilijua uzushi, kusikiliza clip, dah, presdient wetu sio mnafiki kabisa anapenda kusema yaliyoko moyoni kwa uwazi wote. hata lile la kuwaambia ardhi yakijani wao wanategemea msaada wa food, nampongeza.
 
Itz a shame..a big shame.....kwanza uwatusi wahanga kwa dhihaka kubwakubwa....hivi huyu mtu anafikiri kweli kabla ya kutendah...!!? Kweli wana Kagera waliomba GONJWA la ukimwi kutoka kwa Mungu...!!? Je ni wao waliomba kwa Mungu awaadhibu kwa TETEMEKO.....!!? Mto Ngono umewauliza asili ya neno na maana yake au ndio akili yako Mtukufu ilipo lalia......!!? Nakumbuka umewahi kumnyanyasa kisaikolojia mama aliye ulizia HOBBIE yako ....sasa nimekuelewa....!! Je kijiji cha KATELELO umewauliza wazee wa KAGERA asili ya neno na maana yake...!!?

MAGU.....Mbona wewe unaitwa Pombe (baba wa maasi) na bado ukienda kanisani unapewa baraka...!!?

Magu..watake RADHI wana Kagera....hata kama ni watani wako...utani usiuweke katikati ya MSIBA.....

Mwisho unawadhihaki kwa kuwaambia KAGERA OYEEE...!!?

BILA CHEMBE YA AIBU...Mungu anakuona...!!
 
Hayo maneno baba ako angekuwa raisi alafu awe anayazungumza upo wewe na mama ako na wadogo zako inaonekana ungekuwa unayashangilia sana huku unamtazama mama ako or wadogo zako
 
Itz a shame..a big shame.....kwanza uwatusi wahanga kwa dhihaka kubwakubwa....hivi huyu mtu anafikiri kweli kabla ya kutendah...!!? Kweli wana Kagera waliomba GONJWA la ukimwi kutoka kwa Mungu...!!? Je ni wao waliomba kwa Mungu awaadhibu kwa TETEMEKO.....!!? Mto Ngono umewauliza asili ya neno na maana yake au ndio akili yako Mtukufu ilipo lalia......!!? Nakumbuka umewahi kumnyanyasa kisaikolojia mama aliye ulizia HOBBIE yako ....sasa nimekuelewa....!! Je kijiji cha KATELELO umewauliza wazee wa KAGERA asili ya neno na maana yake...!!?

MAGU.....Mbona wewe unaitwa Pombe (baba wa maasi) na bado ukienda kanisani unapewa baraka...!!?

Magu..watake RADHI wana Kagera....hata kama ni watani wako...utani usiuweke katikati ya MSIBA.....

Mwisho unawadhihaki kwa kuwaambia KAGERA OYEEE...!!?

BILA CHEMBE YA AIBU...Mungu anakuona...!!
Misconception

Mbona wananchi waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wanacheka na kuitikia oye

Ina maana ww uliyekuwa nyuma ya keyboard una uchungu sana kuliko waliohudhuria mhadhara "waathirika"

Siyo kila jambo uliwekee -ve tu mjomba,jaribu kuwa positive
 
Back
Top Bottom