Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko..Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono..

Tetemeko ni janga la asili (natural calamity) , hakua na sababu ya kuzungumza hivyo. Labda kama alikua anatania. After all, ki takwimu kwa sasa mikoa inayoongoza kwa Ukimwi ni nyanda za juu kusini.
 
Nani afafanue katerero hapa japo kidogo! [HASHTAG]#miss natafuta[/HASHTAG] njoo hapa unifundishe hii kitu
 
Huku ni sawa na kumkejeli Mungu. Kwani wana Kagera waliomba haya yawapate wao toka kwa Mungu!?

Yeye mbona hasemi uchafu wake!? Uongo yeye, ufisadi yeye, utoaji rushwa yeye na mengineyo mabaya yeye.

Magufuli amesema Kagera haipaswi kuwa ya matatizo bali ya mfano na kutolea mfano majanga yaliyotokea Kagera ya Ukimwi na tetemeko..Pia akawaambia anajua wana kijiji kinaitwa Katerero na mto unaitwa Ngono..
 
hayo mengine aliyoyataja, achana na katerero, hayo mengine sijui yana maana gani kwa kihaya manake nimeona nshomile wamecheka kuliko hata katerero ilivyotajwa. hata hivyo wanajua kinachoendelea kwani hotel zote bukoba zina waterproof bedroom. ndio sehemu pekee tz utakuta kitu kama icho.
Nakumbuka kipindi nipo huko kikazi Bukoba.... I was so so surprised na hayo magodoro hotelini yenye nailoni kabla ya shuka.... Pia yanafanya kitanda kinakuwa cha baridi.... !!!
 
Huku ni sawa na kumkejeli Mungu. Kwani wana Kagera waliomba haya yawapate wao toka kwa Mungu!?

Yeye mbona hasemi uchafu wake!? Uongo yeye, ufisadi yeye, utoaji rushwa yeye na mengineyo mabaya yeye.
Mkuu BAK punguza ukali kidogo wata ku- Ben azi suun azi posibo
 
Back
Top Bottom