Mkuu acha kujitoa ufahamu. Toka lini imekuwa kutoa msaada ni wajibu na sio hiari?Sahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.
Kichwa chako kina mende.Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
kiufupi umekurupuka wewe soma bandiko loteHovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
Wajanja lazima waipige hakuna jinsi watazui hilo hata Rais akichinba mkwara vipi lazima wataiba tu , Nchi hii wajanja wachache kipindi hiki wataitumia fursa hiyo hiyo kujinufaisha( kufa kufaana ) Pesa zenyewe zinachangwa hapo hapo kwenye kuchanga napo watapiga hata Pesa za kupangua UKUTA ingawa zilitoka Hazina lakini wajanja walizipiga pia .Hiyo pesa isije KUPIGWA na wajanja ... Tushawazoea!
Anawachora kwa mkaa au chaki? Yaani wewe sijui huwa unawaza kwa kutumia nini kwani michango yako ni ya hovyo kabisa.Sahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.
Respect everyone!Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
Mzee hongera Kwa kupewa Kitengo cha ulaji naona unatamani Tetemeko litokee Dsm ili matajiri wengi watoe mchango nyie mjinufaishe Kwa ufujaji pesa za misaada , ( kufa kufaana ) Safari hii mkila Pesa ya misaada mtapata laana kubwa .Kwa hiyo unataka Rais awe upande wa matajiri? Unaelewa athari zake? Hakika kama umelala mzungu wa nne usiku huu haifai kuja na mihasira yako hapa
Pesa za michango ni Dili Lao akina Lizaboni ndiyo maana wamekimalia michango ili wazifuje hizo Pesa kwa kisingizio kuwa zimetumika kule bukoba .Nyie watu wote hakuna mlijualo ni wapi imeandikwa kuchangia maafa ni wajibu wa matajiri ?? Swala la kuchangia ni hiyari ,na si lazima ,hili linatokana na mtu alivyo guswa na tukio husika, na hakuna lolote la kumfanya asipo changia na ndio maana hata serikali inawaomba haiwaamrishi msiwe wajinga kiasi hiki, yaan kweli chama changu cha mapinduzi kimedumaza fikra za vijana wake wengi aisee tena wewe Lizaboni huwa ni mrukiaji wa mambo mengi ambayo huyafahamu wala huyajui huwa unatia aibu mara nyingi sana kwa kuongea nonsense ,hata kama ni kuitetea serikali wakati ,wingine unatia aibu kupindukia.
Hovyo nini, aache kuropoka na kuwatenga na kauli zake... Mimi ni Rais wa Maskini! So what?Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
imechakachukiwa inaonekana haitoshi .Hee! Kwani misaada aliyochangia Kenyatta haikutosha?
Sasa hutaki awe rais wa maskini?Rais akiwa wa matajiri unajua madhara yakeHovyo nini, aache kuropoka na kuwatenga na kauli zake... Mimi ni Rais wa Maskini! So what?
Rais hatakiwi kutoa kauli za kuwagawa watu kama hivyo, anatakiwa awe neutralSasa hutaki awe rais wa maskini?Rais akiwa wa matajiri unajua madhara yake