Rais Magufuli awaapisha Wakuu wa Mikoa, Awaongelea Kasesela na aliyepigwa fimbo na Ndugai

Sahihisho, Rais anawaapisha wakuu wa Mikoa tu na Wakuu wa Wilaya wataapishwa na wakuu wao wa Mikoa
"Nataka niseme ukweli, wale ma-DC tuliowaacha hawakufikia VIGEZO." - JPM

Mkuu kubali tu kuwa hukuwa na VIGEZO. Endelea kuuza t-shirt Lumumba & kumtukana Lowasa. Ndivyo unavyoviweza.
 
Kumbe JPM ni mwana jf mwenzetu maana jana kuna uzi uliletwa kuhusu huyo jamaa aliyepigwa na Ndugai kuteuliwa kuwa DS wa Meatu.
 

Mbona wamo wengi tu wenye Historia Chafu
 
Hivi wakuu wa mikoa na wilaya kazi zao huwa ni nini?
Hawa ni makada wa fisiem na hakuna lingine..

Mosi : hawana kasma katika bajeti kuu ya serikali
Pili: hawana uamuzi wa jambo lolote katika maeneo yao katika maswala yanayohusu maendeleo
Tatu: hawana nguvu ķisheria katika jambo lolote, kwa hiyo maelekezo yao yanaweza kupuuzwa na hakuna madhara kisheria na wala hawana namna ya ku enforce chochote wanachokipanga kikifanya

Swali: Hivi kwa akili ya kawaida ni sahihi kulipa vyeo ambavyo havina tija kama hivyo?

Wananchi tunataka katiba yetu.. ili tukomeshe ujuha wa fisiem.. tumechokaaa
 
JPM kamaliza kazi imebaki kwa wapiga debe. Hawa hawalali kutwa kutafuta mabaya na uzushi wa kila rangi. Asante sana mh. rais.
 
JPM kamaliza kazi imebaki kwa wapiga debe. Hawa hawalali kutwa kutafuta mabaya na uzushi wa kila rangi. Asante sana mh. rais.

Mkuu, na kunguru waoga nao wengi sana pia! wanapenda kusifia tu kwa kila kitu hata kama ni kibaya. Wewe unasimama upande gani?
 
Hata Hata mrisho gumbo amekidhi vigezo pamoja na mwanae?
 
Mi nilisema mtu akisemwa sana kwa ubaya JPM ndo humteua na kumuongezea na cheo pia! Eg Kasesela na Makonda sasa sijui Mzee Mwanakijiji hamuoni au bado muda wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…