Rais Magufuli awaapisha Wakuu wa Mikoa, Awaongelea Kasesela na aliyepigwa fimbo na Ndugai


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,645
Likes
6,280
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,645 6,280 280
Leo Tarehe 29 Rais Magufuli anawapisha wakuu wa mikoa na wilaya asubuhi hii live from Azam two na TBC1.

Rais Magufuli:
Gondwe ninajua unatangaza,sasa utakwenda kutangaza maendeleo unakokwenda,ufanye kama unatangaza tangaza tu.

Rais Magufuli:
Mchakato wa kuwapata Ma-DC haukuwa rahisi, ilibidi tutizame historia ya kila mmoja wao.

Rais Magufuli:
Kuna mabadiliko madogo tuliyoyafanya kutokana na jina lilikosewa, kwa hiyo aliyestahili tumeshamuweka.

Rais Magufuli:
Ningeweza nikataja majina yote mliopo hapa mpaka yule aliyepigwa fimbo na mtani wangu, karibu kila jina nalifahamu na sifa yake.

Rais Magufuli:
Mna mamlaka makubwa ya kumuweka mtu Mahabusu ila msiende tu kuonea watu.

Rais Magufuli:
Mnaweza kufikiri tumewachagua sisi lakini inawezekana Mungu ametutumia sisi kuwachagua ninyi.

Rais Magufuli:
Nilikuwa namuona DC wa Iringa anabeba watoto wakamsema sana, na mimi nikasema abaki hapa hapa

Rais Magufuli:
Nilitegemea sana baada ya kuwateua, nilitegemea labda mngekuja robo tu, ninawashukuru sana kwa kuja.

Rais Magufuli:
Watanzania wengi tumezoea kulalamika, tunapenda tu kupewa, hatutaki kufanya kazi.

Rais Magufuli:
Ni matumaini yangu hamtaniangusha, hata sura zenu zinaonyesha ni wachapa kazi, nendeni mkachape kazi.

Rais Magufuli:
Nyinyi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mna mamlaka hata ya kuweka watu mahabusu, ila msiende kuonea watu.

Rais Magufuli: Mkasimamie yale tuliyowaahidi sisi wana CCM, mkayatekeleze kwa nguvu zote

Rais Magufuli:
Watanzania wengi wana changamoto nyingi, nina imani hamtaiangusha serikali hii.

Rais Magufuli:
Nataka niseme ukweli, wale ma-DC tuliowaacha hawakufikia vigezo

Mchakato wa kuwapata ma-DC ulikuwa mgumu, ilibidi tuangalie historia ya kila mmoja, tuliangalia mambo mengi sana.

Rais Magufuli anazungumza kwenye sherehe za kuwaapisha kiapo cha uadilifu wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wapya.
 
O

Odili

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2015
Messages
1,700
Likes
1,134
Points
280
O

Odili

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2015
1,700 1,134 280
Sahihisho, Rais anawaapisha wakuu wa Mikoa tu na Wakuu wa Wilaya wataapishwa na wakuu wao wa Mikoa
Asante mheshimiwa mkuu kwa kulifafanua hilo. Kwenye ukweli nakuunga mkono ila ukiboronga nakusahihisha.
 
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,033
Likes
3,003
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,033 3,003 280
Nani tena kamwibia magufuli matrilion kwa kucheza na EFD????
 
sir longo

sir longo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
1,025
Likes
472
Points
180
Age
30
sir longo

sir longo

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
1,025 472 180
kapigen kazi vijana.
 
mnyawusi

mnyawusi

Senior Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
162
Likes
239
Points
60
mnyawusi

mnyawusi

Senior Member
Joined Apr 1, 2012
162 239 60
Wakati anamalizia mh Rais amesema kuna marekebisho kidogo kwa wakuu wa wilaya,aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida ni Miraji Mtaturu ambaye alikuwa katibu wa CCM mkoa wa Mwanza na pia wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ameteuliwa Agnes Hokororo.Kwa Ikungi awali alitangazwa mtu mwingine na kwa Rombo aliyeteuliwa awali alikuwa pia Mbunge na Rais amesema hakuna sababu ya mtu mmoja kuwa na vyeo viwili yaani ubunge na ukuu wa wilaya
 
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
4,620
Likes
5,345
Points
280
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
4,620 5,345 280
Vyeo vingine ni matumizi mabaya tu ya hela za kulipa mishahara.
 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,262
Likes
1,087
Points
280
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,262 1,087 280
" Mkasimamie
yale tuliyowaahidi sisi wana
CCM, mkayatekeleze kwa
nguvu zote"
Hata ww mwalimu unatakiwa kuitekeleza Ilani ya CCM huko iramba, hujui kuwa CCM ndo Chama tawala?
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,416
Likes
1,875
Points
280
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,416 1,875 280
Naogopa kusema neno, kesho nikaamkia mahabusu...!
 
K

Kibstec

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
1,205
Likes
2,332
Points
280
K

Kibstec

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
1,205 2,332 280
Unaguna nini? kigeu geu cha hawa kimekuchefua?

13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n-jpg.360620
Mkuu vijana wa BAVICHA wa humu mitandaoni wakiliona hili BANDIKO lazima wapate kichechefu.......watasubiri sana na li CHAMA LAO......heri ya MNYIKA kaishasoma alama za NYAKATI
 

Forum statistics

Threads 1,238,200
Members 475,856
Posts 29,312,607