Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wapya watano

Lipo ukurasa wa pili!
Seriously, watu ninaowaonea huruma ni kama wewe hapa, mkuu 'johnthebabtist' mnaoshinda kutwa JF mkishangilia wenzenu wakiteuliwa.

Hivi mnajisikiaje kuwa nyinyi hamna sifa ya kuteuliwa hata hivi vyeo vya chini kabisa?

Yaani hamna sifa zaidi ya hizi za kushindia JF kila siku?

Hivi hata hamstuki na kujiuliza kulikoni?
 
Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Omary Kipanga.

Rais Magufuli pia amemteua Hassan Njama kuwa DED Mvomero, Morogoro akichukua nafasi ya Florent Kayombo, JPM pia amemteua Kanyala Malima kuwa DED Ifakara, Morogoro akichukua nafasi ya Francis Ndulane.

View attachment 1497850

Maendeleo hayana vyama!

Timu yenye akili za Jecha yaandaliwa. Ni kupindua meza chaguo za wananchi.
 
Hao maafisa mipango wateule ni wazoefu wa uchaguzi za serikali za mitaa kwahyo hapo wagombea kazi kwenu
 
Back
Top Bottom