johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,612
Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua nafasi ya Omary Kipanga.
Rais Magufuli pia amemteua Hassan Njama kuwa DED Mvomero, Morogoro akichukua nafasi ya Florent Kayombo, JPM pia amemteua Kanyala Malima kuwa DED Ifakara, Morogoro akichukua nafasi ya Francis Ndulane.
Maendeleo hayana vyama!