wanajaribu kututoa kwenye mada kuuSitaki kuitwa mchochezi, mkurugenzi wetu hajapata dhamana, no comment.
Akili ndongo inapotawala akili kubwa ni problem you know.Tatizo la wanasiasa kuingilia professional za watu ndio hizo, bora wangesema kama huo utafiti wa NIMR ulipotosha jamii ama si wa kweli
Hata kama ipo hapo ni lazima ajikaushe.......Kaliwa kichwa,Dr Mwelle come out na evidences,je kuna Zika ama hakuna?
Mkono wa mange inawezekana unahusu mkuu, you know who anahasira nae.Nasubiri post ya Mange kule insta kwa hamu kabisa,baada ya mama yake wa hiari kuliwa kichwa