Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,530
Naunga mkono kabisa kutumbuliwa kwa Huyu Mama, Issue ya ZIKA ni kubwa mno kwake yeye kutangaza kuwa ipo Tanzania au haipo,
Kama ipo ilitakiwa amuone Waziri wa Afya kwanza ili Waziri wa Afya akashauriane na Rais kuhusu kuwepo kwa dalili za ugonjwa huo nchini, then sampuli zichukuliwe zipelekwe maabara Nje ya nchi ikibidi hata WHO wangetakiwa kuhusishwa kupima hizo sampuli, kama ingegundulika hiyo ZIKA ipo nchini, basi Rais au Waziri wa Afya ndio wangetutangazia rasmi na kutueleza nini cha kufanya, sasa Tangazo la Dr. Mwele lilizua taharuki sana kwa wananchi na hata nchi za jirani zimepatwa na taharuki sana na hili swala linaweza kusababisha uchumi wetu kuporomoka kwa sababu watalii wanaweza wasije kabisa na hata nchi zingine Raia wanaotoka Tanzania wanaweza kuzuiwa kuingia huko, hivyo, hili swala si dogo kama tunavyoweza kufikiri