Rais Magufuli anazidi kuthibisha sio mwanasiasa

Rais Magufuli anazidi kuthibisha sio mwanasiasa

k

mkuu naona uzi huu haukuwa wako sorry niliukosea kuuingiza kwako. kuna mmoja alinekera n. najua hukumponda Magufuli tena umempa big up! nisamehe bure tuu. tunajua ili aiweze nchi hii anatakiwa asiendekeze siasa kabisa! nchi zote ambazo zimeendelea sasa zilikuwa na misimamo mikali sana kwenye mapito yao na ndio maana zipo hapa zilipo. akianza kuendekeza siasa, huruma kwa wanaovunja sheria watu hawataweza kurudi kwenye mstari na kusukuma gurudumu. watakuwa lazy siku zote.big up kamanda
poa
 
Ndio vzur maana ushikaji kwenye kazi uharibu kila kitu mwisho wa siku huweza kupoteza mazuri yote uliyoyafanya maana watanzania ni vigeugeu Leo wanakusifia kesho wanakupondea na ni wepes kusahau mazuri
 
Kuna kitu mnashindwa kukiweka sawa kutokana na mihemuko ya pande za kisiasa.

Ni kwamba; endapo atashindwa kulipa kodi anayotakiwa kulipa mpaka tarehe 18/01/2016 basi tangazo rasmi la kufungiwa vituo vya TV na Radio husika litaanza rasmi baada ya hiyo siku. Lakini kama malipo yalishakamilishwa kuanzia Jana au kama watakamilisha tarehe 18/01 tutaendelea kuona Star TV na radio washirika bila kuzimwa hata siku moja.
Umesema kweli. Watu wana mihemko hata tangazo hawajaliona au hawajalielewa vyema wanakimbilia ku comment tu!
 
habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa

jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up
Pia wale wa mabondeni watamshukuru mvua za el ninyo zitakvyohamishia bahari jangwani na msimbazi!
 
Mimi ikifika tarehe 18 nisipoiona hewani ndio nitatoa comment
 
hivi kuna watu wanaamini Start tv itafungiwa? let's wait, kesho sio mbali
 
habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa

jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up

Ni vyema sana ikaeleweka kwamba siasa ndiyo msingi wa maisha duniani kote. Bila siasa hakuna linalofanyika; pia, rais aliyeingia madarakani kwa kuchaguliwa hawezi KUTOKUWA mwanasiasa.

Siasa ni kitu muhimu sana katika maisha ndiyo maana hii ni kati ya elimu rasmi iliyokuwepo enzi na enzi.

Sasa ukitaka uleweke uzuri sema SIYO MWANA SIASA MBAYA.

Siasa inaweza kuwa mbaya, yaani ile isiyosaidia wananchi, na inayodhulumu wananchi n.k.
 
alipokua anagombea mwenyewe alisema sio mwanasiasa na hajui siasa
 
tarehe 18 si ndo leo mbona mie nakula ngoma hapa,tena saivi ndio wanasikika clear kuliko mwanzoni
Habari JF,

Huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa.

imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama Sahara).

Huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa.

Jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi.

Nampa big up.
 
Mleta hoja nimetafuta la kufananisha na wewe nimekosa! Ila elewa kuwa unapovunja sheria au utaratibu huwa haiangaliwi wewe ni nani!
 
wenyewe wataachiwa, Nape alikuwa anatafuta uhalali wa kulifungia MAWIO,
 
Sawa.

Lakini siyo kwamba watatimiza masharti kufikia hiyo tarehe na wataendelea kuwa hewani?

Watu wanaleta mada kwa kutumia wakati uliopona siyo wakati ujao.

Watavifungia siyo wamefungiwa.

Si ingefaa tusubiri na kushuhudia kuzimwa kwa hizo station ndipo tushabikie?

Ametumia wakati sahihi, WAMEFUNGIWA ila kifungo kitaanza tarehe tajwa!
 
maelezo yoooote hayo ni pumba tupu. achana na Magufuli mzee humuwezi. sio saiz yako. wewe nenda kafanye siasa unazotaka. kwa hiyo ungekuwa wewe ungewasamehe woote hao wasilipie leseni zao tangu mwaka juzi sio.?? nakushauri uhame nchi utafute ambayo inafanya siasa za kulambana lambana kama unazotaka
Kweli watu tunatofautiana kuelewa mambo; tafsiri nilioipata mimi kwa mleta uzi na ulivyo elewa wewe tofauti kabisa! Yaani....!
 
Back
Top Bottom