real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
Habari JF,
Huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa.
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama Sahara).
Huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa.
Jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi.
Nampa big up.