Rais Magufuli anazidi kuthibisha sio mwanasiasa

Ndugu yangu! Huwezi ukaleta mabadiliko hususani kwenye nchi iliyoharibika kama TZ ikiwa utaogopa kujijengea chuki na watu. HIYO SAHAU. Sijui kwanini umeliona hilo la safari za nje kama la uamuzi mbaya. Hata la bomoa bomoa bado si baya ila kinachoombwa lifanyike kwa busara, haki na bila maumivu makali kwa wahusika.
e banaee nadhani hujanielewa ,soma tena post vizuri
 
Sidhani kama magufuli anahusika na jambo hilo,TCRA naaamini ni chombo huru amabcho hakiingiliwi na serikali kwa namna yyte ,na kama Rais angekuwa na ushawishi wa kufungia vyombo basi kuna magazeti mengi sana na radio na vyombo vingi visingekuwepo,mtu kama hulipi kodi leseni hulipi lazima tu utafungiwa tu hakuna njia mbadala
usiwe naive hivo mtu wangu, kufungia media kubwa kama Sahara group ambao alikua ni player mkubwa sana kwenye kampeni za 2015, TCRA hawawezi kukurupuka bila ridhaa ya wenye nchi
 
Ndugu yangu! Unalalamika kuhusu kufungiwa Star tv na Radio free Afrika? Unajuaje matangazo ya vyombo hivyo wakati wa kampeni si ya kujitolea kumsaidia Magufuli na ccm bali ni biashara kati ya vyombo hivyo na ccm. Inawezekana kabisa siku moja ukaambiwa pesa ccm iliyoilipa sahara media na ukapatwa na mshutuko. Diallo ni mfanya biashara. Siamini aliwakampenia ccm bure. Sasa vipi unataka Magufuli amlinde?
sijalalamika kwa anachofanya
kwanza nimemfagilia
rudia kusoma post yangu unielewe
 
Wakuu tusiseme maneno yote,tubakishe na akiba,muda ukifika ndiyo tuseme,kwa sasa tusome maandiko tu.
 
usiwe naive hivo mtu wangu, kufungia media kubwa kama Sahara group ambao alikua ni player mkubwa sana kwenye kampeni za 2015, TCRA hawawezi kukurupuka bila ridhaa ya wenye nchi
Hapa kazi tu,JPM hana uswahiba na wakwepa KODI awe Diallo ,JK au nani!?
 
k
aisee rafiki, uelewa wako sijiui ni mdogo kiasi gani, nakujibu tu ila naona najishushia heshima kukujibu, mimi sijamponda magufuli, na unaposema simuwezi kwani nashindana nae? kweli uhuru kupita kiasi una madhara makubwa pia
watu kama nyie mnajaza tu posts kwenye thread za watu, ila mnachoandika ni utumbo mtupu, next time usichangie tena uzi wangu plz, maana sina time wala interest ya kusoma uzi wala post zako
mkuu naona uzi huu haukuwa wako sorry niliukosea kuuingiza kwako. kuna mmoja alinekera n. najua hukumponda Magufuli tena umempa big up! nisamehe bure tuu. tunajua ili aiweze nchi hii anatakiwa asiendekeze siasa kabisa! nchi zote ambazo zimeendelea sasa zilikuwa na misimamo mikali sana kwenye mapito yao na ndio maana zipo hapa zilipo. akianza kuendekeza siasa, huruma kwa wanaovunja sheria watu hawataweza kurudi kwenye mstari na kusukuma gurudumu. watakuwa lazy siku zote.big up kamanda
 
habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa

jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up

Subiri tarehe 18 Jan, uone kama vitakuwa hewan au la! Ila kama vitaendelea kuonekana, huu uzi hauna maana yoyote zaidi ya ushabiki

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa

jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up
Watu wa ajabu sana ninyi, ni lini stat tv ilifungiwa. Mimi nangalia kila siku na hata sasa naangalia star tv. Sasa hivi wanaonesha makala yanayomhudu Patrice Lumumba. Acheni hizo.
 
habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa

jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up
Ili tuendeleee Ni lazima tujifunze kufuata sheria Pamoja na kuzisimamia pia , anachofanya Mhe. Rais kinahitajika kupongezwa na kuungwa mkono na wapenda Maendeleo wote
 
Back
Top Bottom