pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,590
- 3,012
swichi ya kuzimia ipo ofisini kwa nani?kumbuka wakati wa kuhamia digital TCRA ndo alikua anazima itambo ya analog so hata kwenye hili yeyendo atazima nnavyojua mimi

Uchambuzi murua kabisa tunataka watu kama ninyi mngefikia hata 20 heshima ya jf ingerudi.Kuna marafiki wawili walikua pamoja na kusoma pamoja ila mmoja aliendelea na masomo ya Juu wakaachana na mwingine akawa mfanya biasara,
Siku moja yule mfanya biashara alifanya kosa la kisheria akafikishwa mahakamani.. Akafikishwa mahakamani, Ahmad akamuona Hakimu ni yule Rafiki yake mkubwa na hawakuonana siku nyingi basi alifurahi akijua Hakimu atamuachia huru kisa ni rafiki yake... mambo hayakuwa hivyo Hakimu alimuhukumu rafiki yake kifungo cha mwaka mmoja au faini hakimu akafunga kesi yule rafiki yake alilia sana hakimu alitoka nje kimya kimya na yule Rafiki yake alishangazwa kahukumiwa rakini yupo huru nje akakutana na rafiki yake kipenzi akaanza kumlaumu kuwa hana urafiki wa dhati kwa kumuhukumu rafiki yake... Hakimu akamuambia nimetenda haki na nimekulipia faini usifungwe rafiki yangu... lakini yule RAFIKI yake ilimuuma sana na urafiki ukaisha...
Sasa kama Magufuli kwa upande wangu yupo sawa kama Dialo halipi kodi ipasavyo na huku ana ahadi ya neema kutoka kwa Magufuli basi ajipime kwanza... nadhani Star tv haitafungiwa am sure Magufuli anaweza hata akalipa kwa pesa zake Mwenyewe kama yule Hakimu ili kuutunza urafiki wao na kama Dialo ataona amedhalilishwa ni kivyake ni bora kuwa na Rafiki Mwerevu kuloko Mjinga...
Ndugu yangu! Unalalamika kuhusu kufungiwa Star tv na Radio free Afrika? Unajuaje matangazo ya vyombo hivyo wakati wa kampeni si ya kujitolea kumsaidia Magufuli na ccm bali ni biashara kati ya vyombo hivyo na ccm. Inawezekana kabisa siku moja ukaambiwa pesa ccm iliyoilipa sahara media na ukapatwa na mshutuko. Diallo ni mfanya biashara. Siamini aliwakampenia ccm bure. Sasa vipi unataka Magufuli amlinde?habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa
jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up
Ndugu yangu! Huwezi ukaleta mabadiliko hususani kwenye nchi iliyoharibika kama TZ ikiwa utaogopa kujijengea chuki na watu. HIYO SAHAU. Sijui kwanini umeliona hilo la safari za nje kama la uamuzi mbaya. Hata la bomoa bomoa bado si baya ila kinachoombwa lifanyike kwa busara, haki na bila maumivu makali kwa wahusika.habari jf
huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa
imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama sahara)
huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa
jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi
nampa big up
usije ukarudi hapa kujilaumu na bandiko lakohabari jf

habari jf

sio kwamba ameshafungiwa ila wamepewa deadline kesho wawe wamelipa deni wanalodaiwa, wasipolipa watafungiwa. Ukiona kesho baadhi ya zilizopo kwenye list ya zilizofungiwa basi ujue wameshalipa deni lao.Itapita hiyo tarehe dialo anapeta tu
kuanzia kesho tarehe 18 january star tv itakula ban ya miezi mitatu kutokuwa hewani. hii ni kwa mujibu wa tcra. wengi tunaisubiri kesho kwa hamu ili tushuhudie.Itapita hiyo tarehe dialo anapeta tu
Utabaki kusubiri maishakuanzia kesho tarehe 18 january star tv itakula ban ya miezi mitatu kutokuwa hewani. hii ni kwa mujibu wa tcra. wengi tunaisubiri kesho kwa hamu ili tushuhudie.
hawakusema hivyo, walisema hawa jamaa waliambiwa walipe kodi tangia July 2015 lakini walishindwa, kinachofuata ni kufungiwa kwa kua deadline ilishapita, labda wamlainishe tena jamaa nyuma ya pazia abadilishe sijuiKuna kitu mnashindwa kukiweka sawa kutokana na mihemuko ya pande za kisiasa.
Ni kwamba; endapo atashindwa kulipa kodi anayotakiwa kulipa mpaka tarehe 18/01/2016 basi tangazo rasmi la kufungiwa vituo vya TV na Radio husika litaanza rasmi baada ya hiyo siku. Lakini kama malipo yalishakamilishwa kuanzia Jana au kama watakamilisha tarehe 18/01 tutaendelea kuona Star TV na radio washirika bila kuzimwa hata siku moja.