Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Mafuru ni yule aliyetumbuliwa na JPM akiwa mweka hazina wa taifa kwa sababu ya kusema ukweli clouds 360 juu ya noti kupotea!
-Alisema noti imepotea kwa maamuzi ya serikali kubana matumizi!
-Akasema pesa imepotea baada ya serikali kuzilazimisha taasis kuweka fedha BOT ambako hazizai na wala haziko kwenye mzunguko!
-Akasema serikali kugharamia miradi mikubwa hivyo fedha kwenda nje kunapunguza mzunguko wa ndani!
Wakati akisema hayo,JPM alikuwa akisema waliokuwa wakilalamika juu ya kukosekana kwa noti mtaani ni wapiga dili na wavivu!
Mafuru alipotoka kwenye kipindi alikutana na barua ya kutumbuliwa!!!!!!
JPM:"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu"!
Sasa sijui kuna ukweli mwingine unakuwa sio mpenzi wa Mungu!