Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Asalamaleku?! Tumsifu Yesu Kristu?

Saitaa? MpiraWaChaSugu? Delagawiza? Haaaya itifaki imezingatiwa!!!

Mwenzenu Mimi nilipata nafasi ya kwenda CHATO siku ya tarehe 17.03.2023 kwenye kumbukizi ya SHUJAA WETU na Jemedari wetu shupavu HAYATI. MHE.DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,..na Hakika nayasema haya kwà dhati ya moyo wangu kabisa kabisa..ya kwamba ..Rais John Joseph Pombe Magufuli ( Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Tano) alikua Kiongozi bora kuliko viongozi wote waliomtangulia tangu Taifa letu limepata uhuru.

Yeye ndiye Kiongozi pekee ambae aliweza kuzivaa sura zote nne zilizopo kwenye kiti cha Rais. Alikua na uso uliokua ukibadilika badilika. Na yote hiyo ilitokana na assignments pamoja na projects ambazo alikua akizifanya. ( Alikua hazoeleki )

Ndugu zangu, tumepoteza a very great and precious treasure ( physically) ...lakini spiritually bado tupo nae na anaishi katikati yetu.

Kaburi lake , ni asset yenye thamani kubwa sana na inapaswa kulindwa kwà Nguvu zote. Na tena ikibidi...pale kwenye kaburi iwe kama MFANO tu...yeye atolewe pale na kuwekwa KUSIKOJULIKANA.

R.I.P JPM

Sisi Wazalendo Tutakukumbuka DAIMA.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA".
View attachment 2561676
 
Mungu anapo amuwa kukuondoa ulimwenguni ni kwamba umuhimu wako wako hapa duniani umekwisha haijalishi ulikuwa mwema au ulikuwa muovu.

Kwahiyo haijalishi Magufuri alikuwa mzuri kiasi gani kwa sasa hana umuhimu wowote hapa duniani acheni kutupigia kelele.
 
Huu ni mtizamo wako na pia ni mawazo yako. Swallow your pride ili macho yako yaweze kuona na kuelewa kilichoandikwa
 
Asalamaleku?! Tumsifu Yesu Kristu?

Saitaa? MpiraWaChaSugu? Delagawiza? Haaaya itifaki imezingatiwa!!!

Mwenzenu Mimi nilipata nafasi ya kwenda CHATO siku ya tarehe 17.03.2023 kwenye kumbukizi ya SHUJAA WETU na Jemedari wetu shupavu HAYATI. MHE.DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,..na Hakika nayasema haya kwà dhati ya moyo wangu kabisa kabisa..ya kwamba ..Rais John Joseph Pombe Magufuli ( Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Tano) alikua Kiongozi bora kuliko wote tangu Taifa letu limepata uhuru.

Yeye ni Kiongozi pekee ambae aliweza kuzivaa sura zote nne zilizopo kwenye kiti cha Rais. Alikua na uso uliokua ukibadilika badilika. Na yote hiyo ilitokana na assignments pamoja na projects ambazo alikua akizifanya.

Ndugu zangu, tumepoteza a very great and precious treasure ( physically) ...lakini spiritually bado tupo nae na anaishi katikati yetu.

Kaburi lake , ni asset yenye thamani kubwa sana na inapaswa kulindwa kwà Nguvu zote. Na tena ikibidi...pale kwenye kaburi iwe kama MFANO tu...yeye atolewe pale na kuwekwa KUSIKOJULIKANA.

R.I.P JPM

Sisi Wazalendo Tutakukumbuka DAIMA.

"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA".
View attachment 2561676
Nipe muuongozo wa kufika, mwakani tarehe 17.03.2024 ninategemea kwenda kuhani. Hamna figusu figusu za kuzuiliwa kuingia kwenye eneo la kaburi?
 
Kwa kua upo kwenye Ardhi ya Tanzania....,kitendo cha wewe kuwaza tu kwenda huko, tayari CHATO wanakua wameishajua. Kwahiyo ukiona umeruhusiwa kuliona kaburi lake, ujue ni yeye ndiye karuhusu....na ukiona unapata figisufigisu ujue Spirit yako ilikutangulia huku ikiwa na bad intentions...hawatakuruhusu kuliona. Na hapo hutapaswa kuwa mkaidi wala kulalamika.

Note: Chato sio sehemu ya kwenda kutafutia KIKI
 
Tupo kwenye mambo ya Spirit tena? Siasa za mizimu?

Anyway apumzike kwa amani, na nyie mnaonufaika na kumtaja taja kila la heri kwa mnayopigania.
 
Huu ni mtizamo wako na pia ni mawazo yako. Swallow your pride ili macho yako yaweze kuona na kuelewa kilichoandikwa
Kila binadamu unaye muona hapa duniani akiwemo mm na ww amezaliwa kwa kusudi maalumu hivyo ukiona amekufa jua kusudio lake lililo mleta duniani limekwisha na hana umuhimu wowote duniani.

Binadamu anapo kufa basi ndo mwisho wa kila kitu chake hapa duniani na ndio maana huyo magufuri kwa sasa hana maamuzi yeyote kwa chochote hapa ulimwenguni maana amesha kufa na yuko chini ya ardhi.

Huo uzuri na uchapa kazi wa magufuri Mungu aliona hauna umuhimu wowote kwa Tz ya sasa na ndio maana alimuondoa.

Mungu amesha fanya maamuzi yake hivyo hizo kelele zenu haziwezi kubadili chochote.
 
Tutaendelea kumuenzi kwa kurejea yale aliyokua akiyatenda na kuyatekeleza. Alama alizoziacha bado zina umuhimu mkubwa sana kwetu sote ,..na mifupa yake tutaendelea kuitumia kama MARKING SCHEME katika masuala yote ya UONGOZI wa Taifa letu na AFRIKA.

R.I.P JPM
 
Mnavyozidi kuandika habari zake ndivyo atakavozidi kupopolewa...Msome luqman maloto uone mambo aliyoyafanya JPM.

Ameigeuza Chato kuwa Gbadolite.
Urais siku zote huanzia Nyumbani. Ndio maana nikasema JPM alikua Kiongozi ambae alijua vyema kukikalia kiti cha Urais na akaweza kuweka maendeleo Nchi nzima pasipo ubaguzi wala upendeleo..
family-bible-verse-11.jpg
 
Mungu anapo amuwa kukuondoa ulimwenguni ni kwamba umuhimu wako wako hapa duniani umekwisha haijalishi ulikuwa mwema au ulikuwa muovu.

Kwahiyo haijalishi Magufuri alikuwa mzuri kiasi gani kwa sasa hana umuhimu wowote hapa duniani acheni kutupigia kelele.
Achen kumsingizia Mungu ujinga wenu
 
Kila binadamu unaye muona hapa duniani akiwemo mm na ww amezaliwa kwa kusudi maalumu hivyo ukiona amekufa jua kusudio lake lililo mleta duniani limekwisha na hana umuhimu wowote duniani.

Binadamu anapo kufa basi ndo mwisho wa kila kitu chake hapa duniani na ndio maana huyo magufuri kwa sasa hana maamuzi yeyote kwa chochote hapa ulimwenguni maana amesha kufa na yuko chini ya ardhi.

Huo uzuri na uchapa kazi wa magufuri Mungu aliona hauna umuhimu wowote kwa Tz ya sasa na ndio maana alimuondoa.

Mungu amesha fanya maamuzi yake hivyo hizo kelele zenu haziwezi kubadili chochote.
Mbona una hasira sana?

USITUFOKEE BRO!
 
Back
Top Bottom