Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

Kwa hiyo unakubali kwamba anayeamua kwenda kijiweni huku ana uwezo wa kwenda Serena maisha yake si sawa na yule ambaye yuko kijiweni na hana hata nauli ya kufika Serena?

You feel something diferent in your heart but wajua kabisa maisha hayafanani, Mko kijiwen pamoja mwenzako anaondoka na benzi we unachapa lapa na wote mlikua mnapiga story or whatever
 
Kuna mshkaji alikuwa anakuja kijiweni na benzi la Ikulu. Mnapiga naye story halafu baadaye anarudi Sea View kwenda kupiga story na Mkapa.

Sikuwahi kujidanganya tunaishi maisha sawa.
 
Katika ujinga uliowah kuandikwa na huu pia unaingia kwenye top 5 ...

humu jf kama vile mtu amekatwa kichwa
 
Kuna mshkaji alikuwa anakuja kijiweni na benzi la Ikulu. Mnapiga naye story halafu baadaye anarudi Sea View kwenda kupiga story na Mkapa.

Sikuwahi kujidanganya tunaishi maisha sawa.

Pale unapovua kofia ya urais na kuwa kama raia wa kawaida, we unafikiri wale jamaa wa Ferry waliokua wanaokota nae takataka pamoja walijisikiaje..
 
Ujanja ni upi mkuu
Al bashir, angalia kila mmoja anakuona punguani, stop that! It is strange unaonekana kuandika ka kiingereza vizuri (maana kwa nchi zilizotawaliwa na mwingereza kujua kiingereza ni dalili kuwa umeenda shule kwa kiasi fulani) , lakini umeandika mambo ya hovyo. Eti unaishi sawa na Rais, unajua kuwa huyo ana kanisa lake pale chato! Unatoa impression kuwa ni masikini kama wewe au mimi, stop that, acha mapenzi ya kike maana mwanamke akipenda huwa haambiwi lolote na huwa hafikiri
 
Huwa najiuliza hili jina lake la 'Pombe'
limewaathiri watu?
kama 'wamelewa' hivi...
ni mahaba tu kwa kila analofanya

Mtu hajui ni risk kiasi gani kwa watu wa usalama Rais anajifanya raia wa kawaida aende bank...
ni kama anawasumbua watu wa usalama....
 
Al bashir, angalia kila mmoja anakuona punguani, stop that! It is strange unaonekana kuandika ka kiingereza vizuri (maana kwa nchi zilizotawaliwa na mwingereza kujua kiingereza ni dalili kuwa umeenda shule kwa kiasi fulani) , lakini umeandika mambo ya hovyo. Eti unaishi sawa na Rais, unajua kuwa huyo ana kanisa lake pale chato! Unatoa impression kuwa ni masikini kama wewe au mimi, stop that, acha mapenzi ya kike maana mwanamke akipenda huwa haambiwi lolote na huwa hafikiri

Nimeeleka tofauti na ninachokua na maananisha, Kuna Maisha ya kibanadamu ya kihalisia ya kila siku zidhani kama nina tofauti au ww unatofauti na Mh Rais
 
nakwambia watu wamelishwa maji ya nanii, hawafikiri tena, eti jitu linasema eti Magu anaishi maisha kama ya mleta mada, stupid huyu mtu. Limelewa , akili hakuna kufikiri kabisa. Nadhani humu JF kuna haja ya kuchagua msg /posts to read

Sheria ya mtandao inakunyemelea...
 
Back
Top Bottom