Hii ni mara ya kwanza tokea nijue jema na baya kwa moyo wangu ku-fall in love na kiongozi wa CCM,siku zote niliichukia CCM na viongozi wake wote na mambo yake yote.
Hata hivyo they say never say never,today the same me, I bodly say NAMPENDA MAGUFULI KWA MOYO WANGU WOTE,najuta kwanini sikupiga kura,laiti ningejua ningempigia,hata hivyo akiendelea hivi na kasi hii hakuna shaka 2020 he shall have my big and fat vote.
Hata hivyo kasi ya rais wetu na nia yake ya kutaka kutekeleza ahadi zake inanifurahisha na kuniogopesha at the same time.
Nafurahia maendeleo anayotaka kutuletea ila ili atuletee hayo maendeleo inabidi ahatarishe masilahi ya watu ambao yeye mwenyewe amesema ni wazito which means anahatarisha maisha yake.
Kama kweli rais wetu kipenzi hizi sio nguvu za soda na kama kweli ana nia na malengo ya kufanya aliyoyaahidi basi maisha yake yako hatarini.
Imagine issue yakutaka kusambaratisha drug empires na ufisadi ilivyo hatari.
Druglords ni majitu makatili na yaliyo tayari hata kuungana na kuhakikisha rais wetu wanam silence kwa namna yeyote ile.Its a war.
Sometimes natamani rais wetu kipenzi aiweke pending issue ya madawa ya kulevya kwanza maana wasije wakatuulia rais wetu kabla hajatuletea maendeleo ambayo nina amini ana uwezo na nia.
Kwa maana hiyo naomba kila mwenye mapenzi na rais wetu kila anapoamka na kusali amuweke rais wetu katika maombi.
Huyu baba bila ulinzi na msaada wa Mungu atashindiwa katikati na hasara ni yetu sisi.
EEH MUNGU BABA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI KWANZA ASANTE KWA KUTUPATIA RAIS HUYU MAGUFULI.
MPE ULINZI WAKO MAANA WANAOTAKA ASHINDWE SI WENGI ILA BAADHI WANA NGUVU KIBINADAMU HATA ZA KUMDHURU.
EEH BABA MPE HEKIMA ZA KUCHAGUA TEAM ITAKAYOMSUKUMA MBELE NA SI KUMRUDISHA NYUMA.
MPE PUA ZA KIROHO ZA KUWANUSA WENYE TABIA ZA KILAFI NA KIFISADI ILI AWAEPUKA KTK BARAZA LAKE.
EE
BABA MUNGU MUONGOZE AFANYE YALIYO SAHIHI MAANA YEYE NI BINADAMU BILA MSAADA WAKO ANAWEZA KUFANYA MAKOSA HATA BILA KUKUSUDIA.
MUNGU BABA NAMALIZIA KWA KUKUOMBA UGUSE ROHO ZA WABUNGE WETU WOTE WAKATAE POSHO MAANA ZINATUUMIZA SISI WATANZANIA WENGINE.
WEKA HAYA NA SONI KTK NYUSO ZA WABUNGE HAWA WANAOTAKA HELA WAKATI RAIS WETU ANAHANGAIKA KUFANYA KILA NAMNA ILI KUSAVE HELA ILI KUSAIDIA WATANZANIA WOTE.
MUNGU MWENYE ENZI WAONESHE WABUNGE WETU KUWA HIZO POSHO HATA KAMA NI ZA 'HALALI'KIKATIBA ILA KIUHALISIA NA HALI YA NCHI ILIVYO HUO NI WIZI, UROHO, UBINAFSI,KUTOJALI WENYE SHIDA NA UFISADI.
NAMUWEKA MWANAO Zitto na yule wa Singida mikononi mwako,wang'arishe na uzidi kuwainua kwa manufaa ya taifa hili.
Asante baba Mungu kwa sababu nina amini utakwenda kutenda na jina lako lihimidiwe.
AMEN.