Rais Magufuli anahitaji maombi yako

Rais Magufuli anahitaji maombi yako

Naomba itungwe sheria ya kukataza kufananaisha Rais Julius Nyerere na kila unayedhani unaweza kuropoka. Haya ni matuis kwa mtu ambaye kila mmoja hata maadui zake walimkubali kwamba ni baba wa taifa.

Hivi unaweza kumfananisha Nyerere kwa usanii wa kutembelea Muhimbili, kama si uwendawazimu ni nini hiki? Nyerere alikuwa anabishana na wasomi wa dunia hii kwa hoja. Marais wengine wanakimbia wasomi.

Mimi nafikiri huyo Rais wako kamfananishe na Idi Amin maana Idi Amini ndiye Rais pekee aliyetumia misuli yake kusema apigane ngumi na Nyerere ili askari wasiumie vitani na kubana matumizi. Idi Amini akaanza mazoezi ya push-up ili kumkabili Nyerere.

Sasa ni Rais gani hapa Tanzania anajua push-up kuliko Idi Amini. Peleka uozo wako kule. Julius Nyerere hakuwahi kutuuhumiwa kuiba kura hata kwa tetesi.

Koma kumfananisha Nyerere na kila mtu unayedhani mdomo wako unaweza kumtamka kama unavyoweza kutoa harufu chafu.
We naona una wadudu kichwani sio bure...jitambue
 
Jibuni hoja yangu. Ni upunguwani kumfananisha Julius Nyerere na Rais yoyote hapa Tanzania. Magufuli kafanya nini hadi sasa hivi hadi umsifie au kumponda. Mtu hata Cabinet hajaunda umekuja na upunguwani wa kumfananisha na Nyerere!

Narudia mfananishe na Idi Amini ambaye ni Rais mpiga push-up kuliko wote waliopata kutokea hapa duniani. Kisha jifunze kuwa na adabu kwa marais waliopigania uhuru hadi tumbo lako likapata wasaa wa kudondosha vitu chooni.

Sichukii Magufuli kushinda, nachukia kumfananisha na Julius Nyerere, na hata kama baba yangu angechaguliwa kuwa Rais na mkajipendekeza kumsifia kwa kutembelea Muhimbili tu, nigetoa majibu hayahaya.

Great thinkers huwa tunajibu hoja, na wala si viroja! Ninamashaka inawezekana kuwa na mtindio wa ubongo. Unawezaje kusema Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote? Kwani yeye mungu-mtu? Tueleze nini amefanya kiasi cha kwamba hawezi kufananishwa na mtu yeyote!
 
Ukisha kua rais maana yake wewe ni amiri jeshi katika mapambano.
Tunachotakiwa watanzania ni kumuombea na kumpa ushirikiano.
 
Magufuli is a spiritual project; TANZANIA NJEMA NILAZIMA APENDE AU ASIPENDE MTU.

Mafisadi I warned you lakini mkadhani ni utani, hii project hakuna wa kuipangua maana power zote zinazofahamika na zisizofahamika tulisha zi subdue. Anga letu liko free na Magufuli has all his eyes clear to see the country's vision realized.

Si kwa nguvu wala uweza bali kwa roho wa Mungu aliye hai ambaye Ame ni mtoto wake kipenzi anayejitambua na mwenye kuzitumia vyema talents alizomgawia bure ili aishi kifalme hapa kwenye dunia hii iliyojaa uovu!
 
Kwani kumfananisha mtu na kitu anachofanana nacho ni dhambi?I agree too this is Mwalimu the junior,ahadi zake,matendo yake,kupenda watu,magufuli hongera
 
Mpaka sasa maghufuli nampa 40%. 60 % bado simuamini ingawa ameanza vizuri. kwa mfano nimepata taarifa walimu wetu waliokuwa wakisimamia mitihani ya form two na form four mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao. kisa ni nini? huwezi sema hapa kazi tu wakati wanaofanya hiyo kazi hawalipwi kwa wakati. rais achukue hatua juu ya hili....
 
Hili ndio jibu kwa nini nchi hii haijaendelea. Wapo watu wanaweza kupelekwa na upepo kulia kushoto na wasijiulize kwa nini?

Ni uchizi tu ndio ujue hii nchi ina watu wana minor brains! Wanapendeza na vitu vidogo. Tunaona juhudi za dhati za rais lakini hii ya kufall in love rais na kumuacha mmeo kisa katembelea muhi2 ni umalaya. Eti nyerere! Mwigulu naye mlimuita nyerere, slaa, magufuli, mwakyembe nk nk ....sasa kila anaonesha uzalendo ni nyerere?

Natambua juhudi za rais
 
Kwakweli ni kumuombea kwa Mungu ampe ulinzi!
Pole zao akina Mdanganywa, laki si pesa, Rosemarie and co wenye jicho la husda ambao wao hakuna jema litafanywa na Magufuli wakalikubali! Mwenyezi Mungu awasamehe bure!!!

Jibuni hoja yangu. Ni upunguwani kumfananisha Julius Nyerere na Rais yoyote hapa Tanzania. Magufuli kafanya nini hadi sasa hivi hadi umsifie au kumponda. Mtu hata Cabinet hajaunda umekuja na upunguwani wa kumfananisha na Nyerere!

Narudia mfananishe na Idi Amini ambaye ni Rais mpiga push-up kuliko wote waliopata kutokea hapa duniani. Kisha jifunze kuwa na adabu kwa marais waliopigania uhuru hadi tumbo lako likapata wasaa wa kudondosha vitu chooni.

Sichukii Magufuli kushinda, nachukia kumfananisha na Julius Nyerere, na hata kama baba yangu angechaguliwa kuwa Rais na mkajipendekeza kumsifia kwa kutembelea Muhimbili tu, nigetoa majibu hayahaya.

Huo ni mtizamo wako ila sioni nini kinakupa haki na mamlaka ya kunishambulia kwa kashfa na matusi kisa tu nimetoa maoni yangu.Kwanini tuwachukie watu kisa tu wana mawazo tofauti na sisi?Kuna wengine tulikua marafiki wa muda mrefu sana humu jf na tulipendena na kuheshimiana na siku zote niliwaheshimu hata walipotoa mawazo ambayo ni tofauti na ninavyoamini mimi ila sasa naona hali imebadilika,hata rafiki zangu wanani mind kisa tu nafurahia mtu wasiyemfurahia,imenisikitisha sana.
 
Kwakweli ni kumuombea kwa Mungu ampe ulinzi!
Pole zao akina Mdanganywa, laki si pesa, Rosemarie and co wenye jicho la husda ambao wao hakuna jema litafanywa na Magufuli wakalikubali! Mwenyezi Mungu awasamehe bure!!!

Ni uchizi tu ndio ujue hii nchi ina watu wana minor brains! Wanapendeza na vitu vidogo. Tunaona juhudi za dhati za rais lakini hii ya kufall in love rais na kumuacha mmeo kisa katembelea muhi2 ni umalaya. Eti nyerere! Mwigulu naye mlimuita nyerere, slaa, magufuli, mwakyembe nk nk ....sasa kila anaonesha uzalendo ni nyerere?

Natambua juhudi za rais

Ndio nime fall in love with Mr president,infact nimekufa nimeoza,thanks God mimi sio mkeo kwa hiyo hayo yakumpenda Magufuli zaid ya mume wangu is none of your business.
Chizi ni wewe unayeshindwa kuheshimu maoni ya watu wengine hata kama ni tofauti na msimamo wako.
Ingekua vizuri ukanieleza kwa nini hukubaliani na mimi bila kunitukana,ningeheshimu mchango wako ila unaponiita malaya inaonesha umezoea kusikia watu wakiitana malaya kwenye familia yenu.
 
Ukisha kua rais maana yake wewe ni amiri jeshi katika mapambano.
Tunachotakiwa watanzania ni kumuombea na kumpa ushirikiano.

Jemadari gani anaogopa mapambano. rais mzima unalialia kwamba mniombee. Wewe una majeshi, una bunduki zote, una usalama wa taifa halafu unalialia eti tukuombee.

hajui kazi ya uraisi. Anayejua kazi ya uraisi hutamka maneno haya: UWEZO WA KUMPIGA TUNAO, SABABU YA KUMPIGA TUNAYO, NA NIA YA KUMPIGA TUNAYO, TUNATAKA DUNIA ITUELEWE HIVYO.

Sasa Rais wako badala ya kutamka maneno kama hayo analialia, mniombee. Alah. Je sisi ambao hatuna silaha kama yeye tukipambana na mafisadi au wauza madawa si tulie kabisaaa. yeye ana silaha sisi hatuna silaha.

mwambieni aache uoga anaaibisha. Urais ni ukakamavu. Uombewe usiombewe, uchukiwe usichukiwe wewe unapambana na silaha.

Labda kama alikabidhiwa na wananchi dhaifu, yaani wale waliompa kura.
 
Huo ni mtizamo wako ila sioni nini kinakupa haki na mamlaka ya kunishambulia kwa kashfa na matusi kisa tu nimetoa maoni yangu.Kwanini tuwachukie watu kisa tu wana mawazo tofauti na sisi?Kuna wengine tulikua marafiki wa muda mrefu sana humu jf na tulipendena na kuheshimiana na siku zote niliwaheshimu hata walipotoa mawazo ambayo ni tofauti na ninavyoamini mimi ila sasa naona hali imebadilika,hata rafiki zangu wanani mind kisa tu nafurahia mtu wasiyemfurahia,imenisikitisha sana.

Ukitaka nisikushambulie ahca kuchezea jina la Nyerere linalosifiwa duniani kote kwa kutumia akili yake na si kwa kuongea sauti ya kisukuma ya jazba kana kwamba kuna mashindano ya kutoa sauti.

Subiri Magufuli amalize miaka mitano na akifanya vizuri nitakusaidia kumsifia, lakini eti katembelea Muhimbili, hospitali iliyojengwa na Nyerere halafu umfafanishe, huso si ndiyo uwendawazimu!

Mheshimu geniuos Julius Nyerere ili usishambuliwe, na ukizidisha nitakushambulia bila kujali sheria ya mtandao inasemaje.
 
Julius Nyerere alijenga nyumba za serikali kule Masaki, Oysterbay, Isamilo, Capri Point. Kamuulize Rais wako ni nani aliyeziuza ndyo uje umfananishe mkurupukaji.
 
Suala kama la Zanzibar,au kuzuia raia kuzika ndugu zao,havihitaji maombi!
 
Great thinkers huwa tunajibu hoja, na wala si viroja! Ninamashaka inawezekana kuwa na mtindio wa ubongo. Unawezaje kusema Nyerere hawezi kufananishwa na mtu yeyote? Kwani yeye mungu-mtu? Tueleze nini amefanya kiasi cha kwamba hawezi kufananishwa na mtu yeyote!

Nina mashaka na unayemsifia huenda ni sifa za mama yako alipokutana naye
 
Jemadari gani anaogopa mapambano. rais mzima unalialia kwamba mniombee. Wewe una majeshi, una bunduki zote, una usalama wa taifa halafu unalialia eti tukuombee.

hajui kazi ya uraisi. Anayejua kazi ya uraisi hutamka maneno haya: UWEZO WA KUMPIGA TUNAO, SABABU YA KUMPIGA TUNAYO, NA NIA YA KUMPIGA TUNAYO, TUNATAKA DUNIA ITUELEWE HIVYO.

Sasa Rais wako badala ya kutamka maneno kama hayo analialia, mniombee. Alah. Je sisi ambao hatuna silaha kama yeye tukipambana na mafisadi au wauza madawa si tulie kabisaaa. yeye ana silaha sisi hatuna silaha.

mwambieni aache uoga anaaibisha. Urais ni ukakamavu. Uombewe usiombewe, uchukiwe usichukiwe wewe unapambana na silaha.

Labda kama alikabidhiwa na wananchi dhaifu, yaani wale waliompa kura.

Vita ya Uganda na Tanzania na vita anayopigana Magufuli/Nyerere junior ni vita mbili tofauti na ndio maana Magufuli anahitaji maombi ili apate ulinzi wa Mungu.
Magufuli anapigana vita na adui wa ndani,wengine anaweza akawa anacheka nao na asijue kuwa ni adui na ndio maana anahitaji kuombewa.

Vita zote ni mbaya ila kupigana na unaowajua na usiowajua kuwa ni adui ni hatari zaidi.

Hee leo hii mnasema urais ni ukakamavu,makubwa haya,si nyie mlikua mkisema ikulu hakuna kubeba zege?,tena mkasema hata Lowassa akiwa kwenye machela mtamchagua??!!.Sasa huyo Lowasa angeingia ikulu na vile alivyokua akitetemeka huo ukakamavu angeutoa wapi?Najiuliza tu,Magufuli alisimama na kuhutubia kwa saa karibia mbili,haya Lowasa angewezea wapi na yeye dk 10 tu zilikua mtihani??!!.

Unasema urais ni ukakamavu wkt mnataka kumpeleka Lowasa ikulu hamkuliona hilo?

Sio kila vita inapiganwa kwa bunduki na mabomu,vita nyingine silaha inayohitajika ni maombi.
 
Naomba itungwe sheria ya kukataza kufananaisha Rais Julius Nyerere na kila unayedhani unaweza kuropoka. Haya ni matuis kwa mtu ambaye kila mmoja hata maadui zake walimkubali kwamba ni baba wa taifa.

Hivi unaweza kumfananisha Nyerere kwa usanii wa kutembelea Muhimbili, kama si uwendawazimu ni nini hiki? Nyerere alikuwa anabishana na wasomi wa dunia hii kwa hoja. Marais wengine wanakimbia wasomi.

Mimi nafikiri huyo Rais wako kamfananishe na Idi Amin maana Idi Amini ndiye Rais pekee aliyetumia misuli yake kusema apigane ngumi na Nyerere ili askari wasiumie vitani na kubana matumizi. Idi Amini akaanza mazoezi ya push-up ili kumkabili Nyerere.

Sasa ni Rais gani hapa Tanzania anajua push-up kuliko Idi Amini. Peleka uozo wako kule. Julius Nyerere hakuwahi kutuuhumiwa kuiba kura hata kwa tetesi.

Koma kumfananisha Nyerere na kila mtu unayedhani mdomo wako unaweza kumtamka kama unavyoweza kutoa harufu chafu.

Unaonesha kumjua sana nyerere mpaka kufikia kumkosea heshima rais wetu! Una umri gani wewe? Si busara kuongea maneno hayo...
 
Ukitaka nisikushambulie ahca kuchezea jina la Nyerere linalosifiwa duniani kote kwa kutumia akili yake na si kwa kuongea sauti ya kisukuma ya jazba kana kwamba kuna mashindano ya kutoa sauti.

Subiri Magufuli amalize miaka mitano na akifanya vizuri nitakusaidia kumsifia, lakini eti katembelea Muhimbili, hospitali iliyojengwa na Nyerere halafu umfafanishe, huso si ndiyo uwendawazimu!

Mheshimu geniuos Julius Nyerere ili usishambuliwe, na ukizidisha nitakushambulia bila kujali sheria ya mtandao inasemaje.

Nitamuita Magufuli Nyerere jnr. kila itakaponipendeza kufanya hivyo.Sitaacha kwa kuogopwa kushambuliwa na wewe.Unishambulie usinishambulie haibadilishi kitu maishani mwangu.

Hukosei kuwaza tofauti na mm au mtu mwingine humu,dunia haitakua sehemu ya kufurahisha kama wote tutakua na mawazo sawa,tatizo lako huna hekima busara wala upeo wa mambo na hiyo imejidhihirisha kwa lugha yako chafu ya matusi iliyojaa ghadhabu na hasira unayotumia kupinga wale wenye mtizamo tofauti na wewe.

Hata mtu awe na point kias gani akitoa pounts zake kwa lugha ya matusi watu humpuuza na kumuona hana la maana awezalo kuchangia.

Pia naomba leo nikuelimishe kidogo hata utakapokwenda kulala uwe umejifunza kitu kidogo nawe utakuja kuwafunza wanao kamma si wajukuu,Hospitali ya Muhimbili haikujengwa na Nyerere bali ilijengwa na muarab mmoja aliyekua mchamungu na Muislamu wa kweli aliyeitwa Sewa Haji.

Ubarikiwe.
 
Magufuli is a spiritual project; TANZANIA NJEMA NILAZIMA APENDE AU ASIPENDE MTU.

Mafisadi I warned you lakini mkadhani ni utani, hii project hakuna wa kuipangua maana power zote zinazofahamika na zisizofahamika tulisha zi subdue. Anga letu liko free na Magufuli has all his eyes clear to see the country's vision realized.

Si kwa nguvu wala uweza bali kwa roho wa Mungu aliye hai ambaye Ame ni mtoto wake kipenzi anayejitambua na mwenye kuzitumia vyema talents alizomgawia bure ili aishi kifalme hapa kwenye dunia hii iliyojaa uovu!

Amen .
 
Back
Top Bottom