joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hakuna rais mwerevu asiyejua mahusiano ya kikazi ya mawaziri na watendaji wake, usipojua utashindwa kujua nani ni mchapakazi ili aendelee kuchapa kazi na nani ni kikwazo kwa wengine. Utawezaje kupanga safu ya mawaziri wako au hata PSs kama hujui mahusiano yao ya kikazi yakoje?Magufuli ni mkweli yaani kabisa..Hakuna Rais duniani ambaye hafuatilii mazungumzo ya mawaziri wake, Ladba awe lofa kama uhuru kenyatta ambaye naibu wake anaitafuna serikali bila yeye kujua.
Vizuri sana mawaziri wajue hadharani tena bila kifichwa kwamba mazungumzo yao kwa kazi zao za serikali yana fuatiliwa, wasijaribu ukanjanja.
Huo ndio ukweli..kama hutaki mazungumzo yako ya fuatiliwe usiutake kazi ya uwaziri
Sent using Jamii Forums mobile app