johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
CCM imeingiaje hapo bwashee?!Kwanini asiende mwenyewe Magu huko Oman.Anyway yeye kabudi ameongeza nini huko kati ya oman na Tz.Hivi oman si nchi tu sawa na Oman.Tanzania bila ccm ingekuwa zaidi ya Oman
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa maana ya kutuma bwashee?!Kwani yeye asiende huko?
dodge
Juzi tu walisherekea mauwaji ya ndugu zake sultan wa Oman? Huko amani? Sasa mnaawaalika nini waje Tanzania?
Unaelewa maana ya kutuma bwashee?!
Ndiyo Hao Walionunua Kipande Cha ArdhiNaomba mnisaidie,hivi Hawa jamaa ndo wenye pori tengefu la Loliondo kule linachukua vijiji ukianzia Ololosokwani Hadi maeneo ya huku Pinyinyi
Mikedean naona unaweweseka kila akitajwa JPM na CCM ghafra unaona kiwewe inabidi uzoee tu maana atatajwa sana miaka sita na zaidi, Fanya hivi kumkomoa Magu barabara zake anazojenga usizipitie ndege alizonunua usipande vituo vya afya na hospital usiende pitia njia nyingine hata Dodoma alikohamishia serikali usiende kura yako moja usimpe Octoba lakini ataendelea kuwa Rais wako.Kwanini asiende mwenyewe Magu huko Oman.Anyway yeye kabudi ameongeza nini huko kati ya oman na Tz.Hivi oman si nchi tu sawa na Oman.Tanzania bila ccm ingekuwa zaidi ya Oman
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo Hao Walionunua Kipande Cha Ardhi
Kwa Miaka 100 Yaani Huo Mkataba Ni Mfupa Mgumu Sana Uliomshinda Fisi.
Humu Jamiiforums.com Ipo Thread Inayozungumzia Hayo Makandokando Ya Mkataba
Nasikia Mbowe anatafutwa na polisi kwa kubomoa mataluma ya Reli.........hii biashara ya chuma chakavu ameanza lini?!
Kwani yeye asiende huko?
dodge
Kwanini asiende mwenyewe Magu huko Oman.Anyway yeye kabudi ameongeza nini huko kati ya oman na Tz.Hivi oman si nchi tu sawa na Oman.Tanzania bila ccm ingekuwa zaidi ya Oman
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje aombwe kujenga vyoo kwenye shule za kata.Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote.
Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo.
Source: Channel ten