Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,549
Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote.

Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo.

Source: Channel ten
 
Naomba mnisaidie,hivi Hawa jamaa ndo wenye pori tengefu la Loliondo kule linachukua vijiji ukianzia Ololosokwani Hadi maeneo ya huku Pinyinyi
 
Naomba mnisaidie,hivi Hawa jamaa ndo wenye pori tengefu la Loliondo kule linachukua vijiji ukianzia Ololosokwani Hadi maeneo ya huku Pinyinyi
Ndiyo Hao Walionunua Kipande Cha Ardhi
Kwa Miaka 100 Yaani Huo Mkataba Ni Mfupa Mgumu Sana Uliomshinda Fisi.
Humu Jamiiforums.com Ipo Thread Inayozungumzia Hayo Makandokando Ya Mkataba
 
Kwanini asiende mwenyewe Magu huko Oman.Anyway yeye kabudi ameongeza nini huko kati ya oman na Tz.Hivi oman si nchi tu sawa na Oman.Tanzania bila ccm ingekuwa zaidi ya Oman

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikedean naona unaweweseka kila akitajwa JPM na CCM ghafra unaona kiwewe inabidi uzoee tu maana atatajwa sana miaka sita na zaidi, Fanya hivi kumkomoa Magu barabara zake anazojenga usizipitie ndege alizonunua usipande vituo vya afya na hospital usiende pitia njia nyingine hata Dodoma alikohamishia serikali usiende kura yako moja usimpe Octoba lakini ataendelea kuwa Rais wako.
 
Ndiyo Hao Walionunua Kipande Cha Ardhi
Kwa Miaka 100 Yaani Huo Mkataba Ni Mfupa Mgumu Sana Uliomshinda Fisi.
Humu Jamiiforums.com Ipo Thread Inayozungumzia Hayo Makandokando Ya Mkataba

Nchi hii hakuna wa kuuvunja huo mfupa,mengine watu wanaogopa kuzungumza.
Si ndo hao waliojenga Ile hoteli ya Bililla campsic pale kwenye milima ya fedha kabla hujafika seronera Kama unatokea Clens geti?
 
Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote.

Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo.

Source: Channel ten
Aje aombwe kujenga vyoo kwenye shule za kata.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom