Rais Magufuli amteua Prof Longinus Rutasira kuwa makamu mwenyekiti bodi ya TCAA

Usipokuwa Dr,Prof au Kanda yetu ireee awamu hii hakuna kitu! Naona ameipa kisogo kabisa kanda yetu ya kaskazini mashariki!
 
Maraika mkuu na mtakatifu mkuu anateua wa kanda ya ziwa na wakatoliki safi sana tunaendeleza maombi yetu
 
Machadema yatachora chini mwaka huu.Mtukufu raisi anateua kanda ya ziwa tu na wakatoliki
 
Kinachonishangaza ni Msigwa kuendelea kujitambulisha ni Kaimu Afisa Habari-Ikulu, wakati tunasikia jana kathibitishwa na Muro kapewa ukaimu
 
Hii serikali ya Magufuli huenda ndi ikawa serikali yenye maprofesa na madokta wengi zaidi duniani!
 
Back
Top Bottom