Rais Magufuli amteua Prof Longinus Rutasira kuwa makamu mwenyekiti bodi ya TCAA

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,189
2,970
Rais Magufuli amemteua prof Longinus Rutasitara kuwa Makamu Mwenyekti wa Bodi ya TCAA na kumpandisha cheo ACP Kedmon Mnubi kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi.
5bb1489470b1a8b7e50c004d187d663a.jpg
 
huyo Prof. Longnus Rutasitara mwezi uliopita JPM si alimteua kuwa Mshauri wake wa mambo ya uchumi? nini kimejiri tena huko kwenye Jumba jeupe? au Prof. ni kilaza nini?
 
ACP Kedmon Mnubi Kamishina Msaidizi Mwandamizi. Hongera sana....tegemea pongezi zangu tena karibuniii......
Watu tumieni akili nafasi za teuzi zitakuwepo kila siku government is machinery system.....hope mmenielewaaa ....ukishindwa nenda gareji karibu yako uliza sifa za machine/engine
 
Kuna wakati ilisemakana wasomi hawapewi nafasi, ndo hzo sasa japo sio za utendaji zngne.
 
Back
Top Bottom