Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,960
- 872
Naona umeamua kujitoa ufahamu hapa. Katibu wa chama umeambiwa anatakiwa kuwa wa fani gani? Huyo kindamba hakuna hata aliposoma certificate ya mawasiliano yeye ni fedha tu, halafu unampa shirika la mawasiliano. Labda amekuja kukusanya fedha zaidi huenda kulikuwa na shida eneo hilo.Mashinji kapewa ukatibu mkuu katika Chama ambacho kinamatumaini ya kupata dola.. Hana experience yoyote ya Uongozi