DESIGNATED SURVIVOR
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 130
- 41
Just kill yourself.Bukyanagandi Nakukubalia 100%
Hapa mheshimiwa na huu uteuzi ni swala l amuda tu kuona uchemfu uliopitiliza kwenye hili. Huwezi kumpeleka branch manager wa benki ya kawaida kama DTB kuwa kiongozi mkuu wa shirika kuu la simu la nchi. Hii si kitu sahihi katika level zote. Ni kama vile wanaomshauri mheshimiwa wanahakikisha akitaka kijana ateuliwe basi aletwe kijana ambaye hana vigezo timilifu kuliko wote ndio achukue nafasi. Ilimradi tu akishindwa waseme si unaona vijana hawafai. Kuna tatizo sehemu, ama kwenye chain ya washauri wa kiongozi wetu au kwenye upande unaopokea ushauri.
Ukitaka kujua umefanya uchaguzi mmbovu ni pale hata adui(competitor) wako anaposhukuru wewe kufanya huo uchaguzi!! Hivi huyu bwana aliyeteuliwa, kampuni gani ya telecoms Tanzania ingeweza kumuajiri kwa wadhifa huo?kwa nini mkuu analeta D team akitegemea A results? je hii ni kutokana na ile limit ya mishahara kuishia 15M kwa hiyo tumebakia kuchagua magalasa tu? Sitaki kusema kuwa aliyechaguliwa hana uwezo, lakini sitaki kuamini kuwa hiyo nafasi ni chaguo sahihi. Huyu bwana ana experience sifuri kwenye sekta ya mawasiliano. Hili litakuwa tatizo kubwa sana kwake. Sekta ya mawasiliano ni sekta inayohitaji ujuzi au uzoefu. kama huna vyoyotw kati ya hivyo viwili HUFAI. hakuna haja ya kuremba maneno. Huyu bwana angekuwa amefanya kazi ndani ya telco kwa angalau miaka mitano ningeweza sema ukosefu wake wa ujuzi unaweza funikwa na uzoefu.
Hoja ya kuishi nje, mtaharibia wanaoishi nje sasa!sio kila anayekaa pembeni ya mahakama anajua sharia. na vivyohivyo si kila anayeishi Ulaya anajua mbichi na mbivu kuhusu uongozi wa sekta nyeti kama ya mawasiliano.
Kwa hili tumefanya kosa kubwa sana.
Kuna haja sasa Nguvu za raisi zikapunguzwa ili aache kuteua watendaji lukuki, na hilo liachwe kwa nguvu za soko la ajira kuamua.
Mbona hamkulalamika kuhusu mawaziri kutofanyiwa confirmation live on TV???