Nilikuwa nae NBC bank namfahamu huyo jamaa.jamaa yuko sahihi tulimaliza nae azania 1997 baadae tukaenda nae tambaza tukamaliza 2002 akapangiwa ALIKUA PCB akapangiwa medicine muhimbili akachomoa akaomba BAF mzumbe baadae akachukua na masters...so ni age kama 34--36
ha haaa haaaaaVipi Mluhira Box Two.... Naona uko kwenye Mustini...waelekea town.
Kwani Kazaura ni mzee?Dr kamugisha kazaura atapangiwa shughuli nyingine ---- naamini anayoiweza hizo nyingine awaachie vijana wafanye kazi tu
Aisee!TTCL haitakuja nyanyuka wataendelea kufukuza upepo mana hata huyu aliechaguliwa yupo vizuri katika makaratasi na siyo kiutendaji
Huyo jamaa ni banker na kada wa ccm kafanya Kazi NBC, DTB na ni mwana ccmTupe info zake, alikuwa anafanya kazi wapi?
KadaView attachment 405482
WASIFU Mhitimu wa shahada ya Uzamili katika Uongozi wa Biashara na Shahada ya Benki, Uchumi na Sheria) mwenye ujuzi wa Teknohama na uwezo mkubwa wa kujenga uhusiano.
Basi sawa, ila umesahau na utumbuaji majipu na watumishi hewaElimu bure,uwajibikaji wa watumishi wa umma,mahakama ya ufisadi na kero ya madawati nahisi inakamilisha 1/5 ya ahadi zake AMEN
Bunkyanagandi-mhaya+ Kamgisha-mhaya= humteei ila nadhani unamfahamu vizuri
Wakimbilia milango minane!!!Vipi Mluhira Box Two.... Naona uko kwenye Mustini...waelekea town.
Kwa hiyo hata kuogesha vibi na vibabu huko UK ni moja ya exposure ya kazi? AiseeWaziri Kindamba Hajasome BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK. katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge, Baada ya hapo akafanya kozi ya Uchumi na sharia za Bank Metropolitan Greenwich University London masters. amepiga box sana London, sasa ni muda wake kula kuku kwa juhudi biunafsi alizofanya. ana exposure ya kutosha maana kukaa tu ughaibuni 8 years ni advantages kubwa sana na hasa ukiwa unafanya kazi aina yeyote unajifunza mambo mengi ya nidhamu ya kazi uwajibikaji na kujua vitu vingi zaidi. mwenye Diploma UK anampita mbali huyu wa TZ wa masters kama hajawahi kutoka na kupata exposure
Leo hii Mchechu anaonekana ni Mtendaji mzuri ni kwa sababu alipewa ushirikiano toka awali na Serikali ya Awamu ya 4 wapo wengine kama kina Sabasaba Mushingi wanaachwa na madudu ambayo yalikuwa hohehahe lakini hakuna hata kutambuliwa. Hii nchi ina 2 std bhana!Wala sishangazwi na kauli zako za vijiweni members wangapi wenye maoni kama ya kwangu ,je, na hao ni Wahaya?
Nilitegemea wapo baadhi yenu ambao amuoni beyond your noses mtatumbukiza masuala ya ukabila - Rais Nyerere aliwahi kusema walio filisika hoja zenye mshiko mara nyingi ukimbilia kutaja makabila, nasikitika kusema kwamba na wewe ni mmoja wao - watu wanachangia hoja zenye umuhimu wa pekee wewe unaleta kejeri tu.
Kwa taarifa yako mimi wala huyu mtu simjuhi, what I know ni wasifu wake basi, ukifatilia michango yangu mingi siku za nyuma kuhusu hatma ya TTCL ndiyo utajua nilikuwa overly concern na Shirika lenyewe hata kabla ya Dk. Kamugisha hajajiunga na shirika lenyewe, binafsi natoka katika Industry kama ya kwake ndio maana nilikuwa nafatilia sana kinacho endelea kwenye Shirika letu la UMMA lenye umuhimu wa pekee katika ustawi wa Taifa letu - baada ya kusoma mipango ya TTCL na kumsikiliza Dk.Kamugisha anavyo jieleza kiufundi nilijua Shirika limepata finally mtaalam na mweledi mwenye upeo wa kuona mbali - nikijua huyu ndiye atatoa changa moto kwa makampuni mengine ya simu nchini.
Tusijidanganye hapa kwamba makampuni hayo yanayo fanya biashara ki-cartel yatataka awepo CEO /mtaalamu kwenye Shirika la UMMA(TTCL) tena mtaalam aliye bobea kwenye masuala ya mawasiliano wanamuona ni tishio kwao - Dk.Magufuli awe makini sana na watu wanao mshauri, akumbuke makampuni haya yana mbinu nyingi za kuhakikisha TTCL inabaki inasua sua miaka nenda rudi - narudia kusema kwamba nayasema haya kwa nia njema .
Sabasaba moshingi madudu gan aliyoachiwa, sijakuelewa vizuri hapo nduguLeo hii Mchechu anaonekana ni Mtendaji mzuri ni kwa sababu alipewa ushirikiano toka awali na Serikali ya Awamu ya 4 wapo wengine kama kina Sabasaba Mushingi wanaachwa na madudu ambayo yalikuwa hohehahe lakini hakuna hata kutambuliwa. Hii nchi ina 2 std bhana!
ELIMU NA SIFAWaziri Kindamba Hajasome BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK. katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge, Baada ya hapo akafanya kozi ya Uchumi na sharia za Bank Metropolitan Greenwich University London masters. amepiga box sana London, sasa ni muda wake kula kuku kwa juhudi biunafsi alizofanya. ana exposure ya kutosha maana kukaa tu ughaibuni 8 years ni advantages kubwa sana na hasa ukiwa unafanya kazi aina yeyote unajifunza mambo mengi ya nidhamu ya kazi uwajibikaji na kujua vitu vingi zaidi. mwenye Diploma UK anampita mbali huyu wa TZ wa masters kama hajawahi kutoka na kupata exposure