Rais Magufuli amteua Ndg. Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

jamaa yuko sahihi tulimaliza nae azania 1997 baadae tukaenda nae tambaza tukamaliza 2002 akapangiwa ALIKUA PCB akapangiwa medicine muhimbili akachomoa akaomba BAF mzumbe baadae akachukua na masters...so ni age kama 34--36
Nilikuwa nae NBC bank namfahamu huyo jamaa.
Ki ukweli Magu kachemka anatupeleka sipo jamani huyu jamaa ni mchemkaji sana
 
Waziri Kindamba Hajasomea BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK.

Katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge, Baada ya hapo akafanya kozi ya Uchumi na sharia za Bank Metropolitan Greenwich University London masters.

Amepiga box sana London, sasa ni muda wake kula kuku kwa juhudi biunafsi alizofanya. ana exposure ya kutosha maana kukaa tu ughaibuni 8 years ni advantages kubwa sana na hasa ukiwa unafanya kazi aina yeyote unajifunza mambo mengi ya nidhamu ya kazi uwajibikaji na kujua vitu vingi zaidi.

Mwenye Diploma UK anampita mbali huyu wa TZ wa masters kama hajawahi kutoka na kupata exposure
 
Ukiwa kada usipoteuliwa kupewa nafasi utakuwa na gundi kabisa .
 
Bunkyanagandi-mhaya+ Kamgisha-mhaya= humteei ila nadhani unamfahamu vizuri

Wala sishangazwi na kauli zako za vijiweni members wangapi wenye maoni kama ya kwangu ,je, na hao ni Wahaya?

Nilitegemea wapo baadhi yenu ambao amuoni beyond your noses mtatumbukiza masuala ya ukabila - Rais Nyerere aliwahi kusema walio filisika hoja zenye mshiko mara nyingi ukimbilia kutaja makabila, nasikitika kusema kwamba na wewe ni mmoja wao - watu wanachangia hoja zenye umuhimu wa pekee wewe unaleta kejeri tu.

Kwa taarifa yako mimi wala huyu mtu simjuhi, what I know ni wasifu wake basi, ukifatilia michango yangu mingi siku za nyuma kuhusu hatma ya TTCL ndiyo utajua nilikuwa overly concern na Shirika lenyewe hata kabla ya Dk. Kamugisha hajajiunga na shirika lenyewe, binafsi natoka katika Industry kama ya kwake ndio maana nilikuwa nafatilia sana kinacho endelea kwenye Shirika letu la UMMA lenye umuhimu wa pekee katika ustawi wa Taifa letu - baada ya kusoma mipango ya TTCL na kumsikiliza Dk.Kamugisha anavyo jieleza kiufundi nilijua Shirika limepata finally mtaalam na mweledi mwenye upeo wa kuona mbali - nikijua huyu ndiye atatoa changa moto kwa makampuni mengine ya simu nchini.

Tusijidanganye hapa kwamba makampuni hayo yanayo fanya biashara ki-cartel yatataka awepo CEO /mtaalamu kwenye Shirika la UMMA(TTCL) tena mtaalam aliye bobea kwenye masuala ya mawasiliano wanamuona ni tishio kwao - Dk.Magufuli awe makini sana na watu wanao mshauri, akumbuke makampuni haya yana mbinu nyingi za kuhakikisha TTCL inabaki inasua sua miaka nenda rudi - narudia kusema kwamba nayasema haya kwa nia njema .
 
Waziri Kindamba Hajasome BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK. katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge, Baada ya hapo akafanya kozi ya Uchumi na sharia za Bank Metropolitan Greenwich University London masters. amepiga box sana London, sasa ni muda wake kula kuku kwa juhudi biunafsi alizofanya. ana exposure ya kutosha maana kukaa tu ughaibuni 8 years ni advantages kubwa sana na hasa ukiwa unafanya kazi aina yeyote unajifunza mambo mengi ya nidhamu ya kazi uwajibikaji na kujua vitu vingi zaidi. mwenye Diploma UK anampita mbali huyu wa TZ wa masters kama hajawahi kutoka na kupata exposure
Kwa hiyo hata kuogesha vibi na vibabu huko UK ni moja ya exposure ya kazi? Aisee
 
Leo hii Mchechu anaonekana ni Mtendaji mzuri ni kwa sababu alipewa ushirikiano toka awali na Serikali ya Awamu ya 4 wapo wengine kama kina Sabasaba Mushingi wanaachwa na madudu ambayo yalikuwa hohehahe lakini hakuna hata kutambuliwa. Hii nchi ina 2 std bhana!
 
Sabasaba moshingi madudu gan aliyoachiwa, sijakuelewa vizuri hapo ndugu
 
Waziri Kindamba Hajasome BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK. katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge, Baada ya hapo akafanya kozi ya Uchumi na sharia za Bank Metropolitan Greenwich University London masters. amepiga box sana London, sasa ni muda wake kula kuku kwa juhudi biunafsi alizofanya. ana exposure ya kutosha maana kukaa tu ughaibuni 8 years ni advantages kubwa sana na hasa ukiwa unafanya kazi aina yeyote unajifunza mambo mengi ya nidhamu ya kazi uwajibikaji na kujua vitu vingi zaidi. mwenye Diploma UK anampita mbali huyu wa TZ wa masters kama hajawahi kutoka na kupata exposure
ELIMU NA SIFA

Chuo Kikuu cha Sunderland – Uingereza
Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA)

Chuo Kikuu cha London Metropolitan – Uingereza
Shahada ya BA (Hons), Benki, Uchumi na Sheria (Daraja la kwanza)

Chuo Kikuu cha Leicester- Uingereza
Stashahada ya Stadi za Utawala (Benki na Huduma za Fedha)

Sekondari ya Tambaza, Dar es Salaam, Sekondari ya Azania, Dar es Salaam, Tanzania

KAZI NA UZOEFU

Diamond Trust Bank (T) Ltd. (Dar es Salaam – Tanzania)
Meneja wa Tawi na Mjumbe wa Timu ya Viongozi Waandamizi , Tawi la Morocco, Kinondoni, Dar es Salaam, tangu mwaka 2011 mpaka sasa.

National Bank of Commerce (NBC), Dar es Salaam – Tanzania) Fraud-Risk Meneja

City Banking and Finance College (London) - Mhadhiri na Mkuu Msaidizi wa Taaluma

NAFASI NA USHIRIKI CCM

Mjumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya ya Ilala-

Mwanachama muanzilishi wa CCM Tawi –London.

UZOEFU WA UONGOZI SHULENI;

Kaka Mkuu – Tambaza Shule ya Sekondari (2001-2002).

Katibu wa Fedha na Uchumi – Azania Shule ya Sekondari (1997-1998).

Mwenyekiti wa Wanafunzi – Kundi A (1996-1997).
 
Back
Top Bottom