Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu.
Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea.
Dkt.Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu nchini Uingereza.
Sent using Jamii Forums mobile app