Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,416
- 33,588
Umri unachangiaHV huwa najiulizaga kwanini watu wakubwa cancer,kisukari,magonjwa ya moyo,b.p hivi vitu vinawafutilia
Ila simanishi mgonjwa anaugua hivo
Umri unachangiaHV huwa najiulizaga kwanini watu wakubwa cancer,kisukari,magonjwa ya moyo,b.p hivi vitu vinawafutilia
Ila simanishi mgonjwa anaugua hivo
Umri....body organs zinakuwa zinaanza kuexpire tayari....kama gari tu...inafika muda unapaki kabisa unaliuza kama chuma chakavu....Unakuta Moyo,Ini, Figo etc vimepiga kazi zaidi ya miaka 70..kila siku...hitilafu lazima tuHV huwa najiulizaga kwanini watu wakubwa cancer,kisukari,magonjwa ya moyo,b.p hivi vitu vinawafutilia
Ila simanishi mgonjwa anaugua hivo
Kuna magonjwa ya matajiri na maskini.
Maskini magonjwa yao kifua kikuu,kuharisha ,degedege nk
Hiiiii?! Hapo sio hospital wewe..Huyu bwana akikutembelea hospital,kinachofuata ni kigumu zaidi.....get well soon Dkt Salimu
saaana!!Akili ndogo hizi....
Yapsaaana!!
🙈Huyu bwana akikutembelea hospital,kinachofuata ni kigumu zaidi.....get well soon Dkt Salimu
Hali si hali mambo yanatetemaNi muhimu kumjulia hali na mkwe, mbona Dr Salim haonekani kwenye picha?
Dhuluma na kunyonya haki za wengineHV huwa najiulizaga kwanini watu wakubwa cancer,kisukari,magonjwa ya moyo,b.p hivi vitu vinawafutilia
Ila simanishi mgonjwa anaugua hivo
Matabaka mpaka kwenye magonjwaKuna magonjwa ya matajiri na maskini.
Maskini magonjwa yao kifua kikuu,kuharisha ,degedege nk
Wewe ni Mtu mzima, jiongeze...tumeshaambiwa ni Mgonjwa inatosha.Ni muhimu kumjulia hali na mkwe, mbona Dr Salim haonekani kwenye picha?
Inaelekea anaumwa sana, pichani hayumo na naona kuna kiti cha magurudumu hapo. Pole zao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga ...wewe ,hali iliyopo familia wanajua wewe hayakuhusu!Matibabu Uingereza yameshindikana karejeshwa Dar? Bongo tuko juu kimatibabu! Pole sana comrade!