Rais Magufuli amtembelea Dkt. Salim Ahmed Salim

Rais Magufuli amtembelea Dkt. Salim Ahmed Salim

Hahhahaa sema hv maskini magonjwa yetu....sio yao
Maskini sio rahisi kumkuta mwenye Pressure,Hata kisukari maskini Wenye kisukari Ni wa kutafutiza unakuta wanabwia chumvi na sukari hatari Hadi ingine wanalamba wanachota waanabugia bila hofu Wala Nini.

Magonjwa Yana matabaka pia
 
Ni muhimu kumjulia hali na mkwe, mbona Dr Salim haonekani kwenye picha?
Sheria mpya ya mtandao inakataza kupiga picha mgonjwa alie mahututi,majeruhi wa ajali na maiti
Mzee anaumwa sana,na kwa picha video za Rais na mke wa Dr salim,panaonekana pale ni ocean road hospital.Utakua umeshajua kinachomsibu mzee wetu
 
Back
Top Bottom