Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,773
- 126,714
Nimeandika nikiwa najitambua ndio maana nimeandika na sentensi ya Pili. Samahani kwa kukwazika.Huyu mgonjwa angekuwa babako,sidhani kama ungeandika hivyo ulivyoandika...
Nilishawahi kuuguza mgonjwa ikafikia kipindi tukaambiwa mrudisheni nyumbani. Unazani huwa wana maanisha nini wakisema hivyo ilihali mgonjwa hana dalili za kupona?