Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 904
Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.

Na hata sasa anaendelea kuomba kwa wenye nazo kusaidia maskiniWasaniiii hao
Wametengeneza Movie ; nauli ya kwenda Dodoma wakati Huo Makonda aliomba Kila mahali ... maana hiyo ndio ilikua kawaida yake kupita kwa makada wa ccm kuomba omba ( Besenga) kati ya watu waliompa nauli ni Rizwani Kikwete ; Frédérique Lowassa; Mzee Sitta etc
Huyu ameshawahi pia kuuwa kada wa Chadema alipoingia Chuo Cha ushirika na Mfadhili wake mkubwa alikua Philllemom Ndesamburo
Huyu ndio alifanya akajuana na Mzee Mengi ambaye kipindi hicho alikuwa na urafiki wa karibu na wanasiasa waliojiita “ walio mstari wa mbele kupambana na ufisadi” .. Mwakyembe na Sitta ... hapo akabadilika akawa ccm wakawa wanamtumia kutukana baada ya kumpenyeza UVCCM Kilimanjaro
Hapo pia akajenga “ushoga” wa karibu na Sitta
So ni mtu ambaye ana Tabia ya kusoma alama za nyakati na kujiweka na wenye nguvu ndio maana ameweza kuhama toka sponsors hadi sponsors from
ndesamburo; Sitta ; Kikwete na Sasa JPM
UnknownHuu ndio ukweli wa mambo.
Kuna kitu kafanya naye kinamoa status fulani iliyo katika level ambayo wanafizikia wanaita "singularity".
Singularity ni pale kanuni zote zinavunjika.
Magu anaweza kuwa mkali sana, anatumvua watu ndani ya dakika moka tu.
Lakini kwa Makonda kanuni zake zote za kutumbua zinavunjika.
Rejea issue ya Coulds FM. Mtu mwingine yeyote angetumbuliwa.
Rejea issue ya makintena kuingizwa bila kulipa kodi, pale Magu alihutubia kama mwanamke anayemsihi mume anayemoenda ambaye hataki kupewa talaka, yani ilikuwa kama anasema "jamani Makonda mbona uko hivyoo, mi nakuoenda halafubwewe unafanya uhuni, lipa kodi basi usiniletee balaa".
Makomda hata hakuomba msamaha.
Sasa hivi kwenye hili la TASAF Magu ni kama anasema kwa kubana pua "Jamani Makonda basi kama umeiba rudisha, nimeshakusamehe nakupenda sana sitaki uniacheee".
What's up with that?
Is Magufuli Makonda's bitch?
He surely looks like one.
Makonda ana siri gani ya Magufuli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing will happen ngabu. Makonda is a Blue-eyed Boy.Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
Nalo hilo linawezekana maana Mzee Meko akili zake anazijua mwenyewe.....Hujaelewa mtoa mada...jina Makonda limetumika kama tafsida...
Great thinkers
Wamemshindwa kwani watamfanya nini?Yaani Marekani imshindwe makonda??!!..kuwa serious mkuu
Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
KabisaHujaelewa mtoa mada...jina Makonda limetumika kama tafsida...
Great thinkers
Ni hivi hizo pesa za TASAF ni enzi ya Mkapa,Makonda alikuwa hohehahe hivyo akasaidiwa.Hizo pesa ilikuwa ni halali kwake kabisa ukilinganisha na mission za TASAF.Akipenda atarudisha tu maana kwa sasa ana uwezo.
TV bila remote control haijakamilikahawezi kumchenjia Makonda,mpaka wanajimilikisha Ardhi eneo moja kwa pamoja,then ujue Makonda sio wa kutumbuliwa leo wala Kesho..tutabaki tunaongozwa na mapoyoyo mpaka kesho
Nilitegemea angeanza hivi..."Nashangaa sikutegemea kukuona Bw Makonda nawe umekuja kwenye hafla hii.."Ameongea friendly kabisa, itakuwa alikuwa anachomekea tu.
Ataelewa siku mfumo ukimtupa yaan akiwa bench baada ya kustaafu hata Nyerere alikuja elewa aliostaafu.Ni wakati muafaka kwa Rais kuwaogopa sana watu wanaomsifia saaana majukwaani....awachunguze mmoja mmoja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni JOKES tu.Hakuna wa kumbabaisha Dlt.Makonda.Kesho Makonda atajitangaza kuwa karudisha shs milioni kumi za TASAF.Game Over!Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe.
Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo.
Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani hakuna baya litalomtokea [sababu yaweza kuwa ni kwa sababu hakuzitumia kabisa hizo hela, au, alizitumia lakini anajua kuwa Rais hatomfanya chochote, n.k.]
Kamera pia ziliwaonyesha marais wastaafu wote watatu.
Kwa kuwasoma lugha yao ya mwili, ni kama vile walikuwa ‘embarrassed’ na alichokisema rais.
Ni kweli Rais Magufuli alimaanisha alichokisema au kasema vile ili kuonyesha tu kuwa ‘hampendelei’ Makonda?
Binafsi naona kama vile kasema tu ili kuonyesha ‘hampendelei’ jamaa huku kiuhalisia hakuna lolote atalomfanya maana jamaa ana madhambi mengi na makubwa kuliko hilo la kutumia fedha za TASAF.
Bofya video umsikie Rais alivyosema kuhusu Makonda. Kuanzia dakika ya kwanza hadi ya pili.
Jihurumie wewe na familia yako.Yaani ukisoma post za watu....mpaka huruma