Mkuu una M7 za kulipa au umejitoa mhanga kufungwa jela? Nani anakuambia umguse Mungu mtu?Wakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Huyu ni Mtanzania kweli? Mbona watz tumeumbwa na roho za huruma inakuwaje kwa huyu mtoa hii post? Hivi kweli unajua maisha ya watz walio wengi kwamba ni ya kifukara? Wacha kuandika kitu kwa mihemko, kaa chini tuliza mawazo na utafakari maisha ya watz walio wengi ndio ucomment.Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.
yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.
Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Haaah siwezi kabisaMkuu we hutaki kumuombea mkulu[emoji3]
Kupambana na Wanasiasa ni Kupoteza Muda!
Yes exactly inashangaza sana by the way watu kama hawa sijui ndio utumia makalio kuwaza?Tufike wakati tuache uchama mtu akitoa post anahtaj ufafaanuzi na sio kupewa maneno ya kashfa et.. BAVIcha hya bwana me UVCCM na bado nakandamizia hlo swali
Ulichoandika hakifanani na jina unalojiita, hvi unajua gharama ya meal and accommodation ilivyokua pindi mtu uko chuo, au kwa akili yako moja unafananisha na ada za secondaryWatanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.
yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.
Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Kwa kuwa unaongea kwa niaba ya mdai (Serikali), unapaswa kuja na hizo takwimu as evidence! "he who alleges must prove", otherwise unaleta blah blah!Kiongozi acha akili za kimagumashi. Ni wangapi ambao wamemaliza CHUO, wafanya biashara wazuri na wengine wameajiriwa ila hawalipi mikopo yao. Pia unasema ajira zimekaliwa unataka kusema miaka yote hiyo ajira zimekaliwa. Kuwa na logic kidogo. Watanzania wengi hatupendi kulipa mikopo shida iko hapo. Wengine wanashughuli za maana tu lakini hawalipi.
Chuo kikuu kuna gharama zinaongezeka kama accomodation na gharama nyingine tofauti na level hizo za chini na ukitoa hilo wazazi wengi wanakuwa na umri mkubwa na ni wakati muaafaka wa mtu kuanza kujiandaa na retirement ndo mana wazazi wengi wanaomba relief wapunguziwe hii burden.Watanzania ifike hatua tuache kulia lia ovyo kwa vitu vya kawaida kabisa ,sasa we kwa akili yako wakati unatafuta hao watoto ulieweka kabisa kabisa kuwa asilimia 100 lazima watasomeshwa na serikali? kama uliwatafuta mwenyewe kwa raha zako mwenyewe ukawasomesha kwa shida mwenyewe malizia mzigo wako na sio kulialia kwa mikopo.
yani ingekuwa agizo langu hiyo mikopo hakuan kutoka kamwe,kwani sioni sababu kama ulimudu kusomesha kuanzia la kwanza hadi la saba mwenyewe,ukasomesha form 1 hadi 4 mwenyewe,ukasomesha collage au form 5 hadi 6 mwenyewe bila hata hiyo kitu inayoita bodi ya mikopo iweje leo ushindwe kumalizia chuo? kwa sababu ukipiga gharama za kusomesha utagundua gharama za kutoka la kwanza hadi form 6 ni mara sita zaidi ya ghrama za kumsomesha mtoto chuo.
Watanzania tuache kulialia kila siku ili tuonewe huruma
Nani kaweka mfumo mbovu wa kutorejesha ?Ingekuwa jambo njema kama watu tungekuwa tunarudisha/kulipa mikopo ili na wenzetu wapate.
Muache huyo anaonyesha ni jinsi gani ajawai pita hata chuo !!Ulichoandika hakifanani na jina unalojiita, hvi unajua gharama ya meal and accommodation ilivyokua pindi mtu uko chuo, au kwa akili yako moja unafananisha na ada za secondary
we kweli umezaliwa juzi. ndio haja zenu hizi bawacha?Wakuu
Nimeangalia CV ya Rais nimeona amesema chuo degree ya kwanza mwaka 1985 -1988.
Je, alipataje elimu yake ?
Je, alisomeshwa na nani?
Je, kama alisomeshwa na serikali amelipa pesa ya serikali iliyomsomesha?
Je, kama hakulipa kwanini anawakazia wanafunzi waliokuwa chini ya bodi walipe madeni?
Kama hakulipa maana bodi ilikuwa aijaundwa kwanini hataki wenzake wasome bure?
Kwanini imekuwa ngumu sana kwa mtu aliyepewa elimu bure yeye kuwanyima wenzie elimu?
Basi hata hizo za kurudisha wapeni basi wadogo zetu masikini ziwasadie.
Ukweli mchungu ni kuwa hakuna viongozi wowote waliojilipia ada ya chuo kikuu.
Magufuli
Lowassa
Kikwete
Ndalichako .
Na wengine mulisoma bure udsm na wala hamkudaiwa pesa baada ya masomo yenu.
Nyerere kawapa elimu bure na Mungu anawaona nyerere alitumia uchawi gani?
Pamoja na kuwa na
Mafuta
Gesi
Madini ya kila aina
Bandari tatu
Samaki
Mbuga za wanyama
Mlima mrefu kuliko yote Africa
Mmeshindwa kutoa elimu bure?
Magufuli toa elimu bure mpaka chuo kikuu au jiuzulu.
Watakuja hapa kukwambia enzi za mwalimu wasomi walikuwa wachacheWakuu