Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM!

leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea 🤣 ✌😂😂:rolleyes:
 
umenikumbusha mbali.huyu bwana Meko anaugua kichaa tumsamehe tu
hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM..!!!!
leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea :rolleyes:
 
Unawezaje kujihadhari na Corana hivi wakati huo ugonjwa bado aujafika nchini?
Kama umefika basi tujurishane
 
USA hawajawahi kushindwa jambo, toka vita hadi kukaa meza moja kati ya Raila na Kenyatta..nikasema kweli US si wa mchezo.

Wacha tuone...dakika bado zipo...!!
 
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

My take,hizi ndo siasa safi.

=====

View attachment 1375376
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
View attachment 1375374
View attachment 1375373
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375375
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375350

View attachment 1375372
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hizi tunaita PR stunts!
Yaani kama kuna ishu mbaya inayohusu serikali,wataalamu wa mahusiano ya jamii,hutengeneza kitu ili kupoteza lengo,sasa hv watu watakuwa wanajadili Maghu na Maalim badala ya kujadili mauaji ya manyoni,Kufukuzwa Membe,Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Maalim sina wasiwasi... hata Mwalimu alimjua fika si mtu wa kushinda chama A, kula chama B na kulala chama C hapana.

Wapo wataalam wa fani hii.
Siasa hubadilika, kama ambavyo umri humbadilika mtu na kuwa na msimamo tofauti na ya umri flani.

Maalimu Seif si tofauti na wengine. Atabadilika tu. Nani aliamini ataikacha CUF?

Leo anajiaandaa kurudi CCM na kupewa stahili zake zote alipaswa kupewa akiwa kiongozi SMZ ili kuua nguvu za Zitto na upinzani kwa ujumla.
 
Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
HADAA ZA UCHAGUZI MIAKA YOTE HAKUONA UMUHIMU WA MAALIM ILA 2020? HATUDANGANYIKI
 
Hiyo ni kati ya kutekeleza maagizo ya mabeberu kabla ya kutoa chao
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

My take,hizi ndo siasa safi.

=====

View attachment 1375373
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375350
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
View attachment 1375372
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375387
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375390
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375391
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375395
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.

In God we Trust
 
Zitto ameharisha hadi katundukiwa diripu hahahaha
hujui kitu
2301830_FB_IMG_1581246624794.jpg
 
Back
Top Bottom