johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
- Thread starter
- #81
Chadema wamepoteza mwelekeo!Ukiwashauri wanakuona hufai.
Chadema wamepoteza mwelekeo!Ukiwashauri wanakuona hufai.
Wanafikiri bado wapo enzi za Kikwete.Chadema wamepoteza mwelekeo!
Kuna risasi awamu hiliWanafikiri bado wapo enzi za Kikwete.
Kwa hiyo?Kuna risasi awamu hili
Ndio tofauti na kikwete hiyoKwa hiyo?
Risasi zipo awamu zote. Hakuna tofauti hapo.Ndio tofauti na kikwete hiyo
That’s it walahiKasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
That’s it walahi
Chadrama kwishney
38?Risasi zipo awamu zote. Hakuna tofauti hapo.
Wachaga watupu!
Chezea Wakara Mnawajua ukicheza na cha Mkara utapata taabu sana.Aache ubaguzi wa kikabila, kimkoa.
Mwanza wahanga wanapewa 1.5 kila mmoja, kagera wakaisoma namba.
Huyo mgonjwa aache kujibaraguza.