fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
ni kweli kawatoa kabisa chedema kwenye reli
Trion moja 1.5 alichukua Mbowe? Walichukuwa CHADEMA??? ZIKO WAPI??? WALOTIA KIBINDONI WAMEFAMYWA NINI???? WAKO WAPI? WE DADA TUMIA AKILI ALIZOKUPA MUNGU, KICHWA SIO KWA AJILI YA KUFUGIA NYWELE. MWISHAENZI MKUBWA WEWE!!!!!Kadi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo Bali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Burr huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure Bali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Mkuu Mimi ni mstaafu nakula pension yangu taratibu......teuzi zinawahusu vijana like Katambi, Kafulila, Shonza, Jokate, Muro etc!Una kazi kubwa sana mkuu tatizo ni kutafuta teuzi?
Kadi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo Bali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Burr huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure Bali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Mbowe alichukua bilioni 7!Trion moja 1.5 alichukua Mbowe? Walichukuwa CHADEMA??? ZIKO WAPI??? WALOTIA KIBINDONI WAMEFAMYWA NINI???? WAKO WAPI? WE DADA TUMIA AKILI ALIZOKUPA MUNGU, KICHWA SIO KWA AJILI YA KUFUGIA NYWELE. MWISHAENZI MKUBWA WEWE!!!!!
Rugs na Singasinga Seth wa IPTL hujawaona?!
Mkuu umesharejea kutoka visiwa vya Ukerewe?!
Kadi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo Bali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Burr huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure Bali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Hahahaaaa........ Chadema wanamzika mbwa wa Nassari Arusha wanawatelekeza wapiga kura wao walio rip Ukerewe!
Wa hali ya juu sanaUpuuzi.
Bwashee umeshapanic!
Yohana Lyatonga hujambo?KADI? Unakimbilia nini wewe kiwavi?
Hahahaaaa kama wewe ulivyogaragazwa na James!Wewe umelaaniwa kisa unatafuta uteuzi
Yohana Lyatonga hujambo?
Naona umeyapa masaburi heshima ya kukuongozaHahahaaaa kama wewe ulivyogaragazwa na James!
Kama nakuona hapo Ufipa ukimtengenezea chai mwenyekiti wa maisha!FENT FORD
Wewe masaburi unampa Mtuhuru!Naona umeyapa masaburi heshima ya kukuongoza
Wewe masaburi unampa Mtuhuru!
Naona umemrithi Joisi!Kafue nepi za mdoli wa kichina
kuonekana kama mwanasesere hakujawahi kumfanya mtu kuwa mwanasesereChadema walikosea sana kuleta sera ya kupinga na kususia kila kitu kinachofanywa na serikali. Yaani hata shughuli za kitaifa wao wanasusia tu. Hii imewafanya sasa waonekane kama wanasesere, ingawa wanajaribu kufa na tai shingoni.