Rais Magufuli aitoa CHADEMA kwenye reli!

Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Onesha zilipo 1.5t acha kuharisha hapa
 
Ukishaona hivi kila anaeamka anaamka na Chadema ujue hali ni mbaya upande ule. Maono ya Chadema yanatimia kila kukicha.

Yote yanayoendelea hivi sasa nikutafuta namna yakufunika kombe mwanaharamu apite. Kwanini wengi wenu ccm mnapenda sana kutumia misiba kuwashambulia Chadema?? Aquilina alipigwa risasi na mnaowafahamu mkakimbilia kuwashambuli Chadema, kivuko kimezama mmekimbilia mashambulizi kama kawaida yenu.

Hebu fikiria wale raia wakawaida wa Ukara walivyojitahidi kuokoa maisha ya wale wenzetu zaidi ya 45 waliopona kwa kutumia zana duni? Wakati serikali ya ccm yenye amrijeahi mkuu na zana za kisasa wamefanikisha kuoloa uhai wa mtu mmoja tu. Hapo serikali ya ccm ikikumbushwa wajibu wake mnakimbilia kuwqsakama Chadema.

Ninyi mkiambiwa nunueni vivuko msinunue kanunueni midege yenu kwajili yakuwasaidia wanyonge na maafa yanapotokea mkimbilie huko mkawalaghai wanyonge kuwa ni jinsi gani aerikali yao inawajali.
 
Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
100% correct
 
Chadema najua ni wabunifu sana, wanaendana na mabadiliko ya kijumla. Ndio maana wanataka kufungua sera mpya ili kukabiliana na hali halisi ya sasa pamoja na kunusuru chama, Mambo yanabadilika sana, adui anapochukua makombora yako ndipo anakufanya ufikiri zaidi kubuni makombora mapya, ndio maana wanatangaza sera mpya ambazo pengine zitaweza kusaidia
 
Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.

Payroll inafanya kazi.

Kumfumba mtu kinywa kwa kumlazimisha asiongee si kwamba amekubali ufanya, bali umemfanya asiseme.
Unaposema ameshughulikia mafisadi, na kero mbali mbali, je unaweza kutuwekea data na mifano hai ya uyasemayo?

Mfano:
Idadi ya mafisadi walioshughulikiwa na matokea yake chanya?
Elimu bure, kunashule nyingi hazina waalimu, watoto bado wanakaa chini, hamna vyoo kwa ajili ya watumishi na wanafunzi pia, na hii wakati wa ziara zake ilibidi ashike bakuli kuomba misaada/michango kufunika aibu.

Na mengine mengi
 
Ukitoa hila zake na personal vendetta kwa watu aliowahi kua na ugomvi nao kipindi cha nyuma tuambie amepambana na ufisadi upi ? Naomba utaje na mifano dhahiri kabisa
Wewe Mwenyewe si Fisadi na alipambana Na wewe.
 
Nadhani
Chadema walikosea sana kuleta sera ya kupinga na kususia kila kitu kinachofanywa na serikali. Yaani hata shughuli za kitaifa wao wanasusia tu. Hii imewafanya sasa waonekane kama wanasesere, ingawa wanajaribu kufa na tai shingoni.
Wajifunze siasa za kiungwana. Huwezi kuwa ndani ya nchi yako alafu unasusia na kupinga kila kitu kinaofanywa na mweinzio just because of your political difference. Waige mifano ya wenzetu kama Amerika n.k mana wao wanajua wanajenga Amerika sio issue ya vyama.
 
Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Unaonekana wewe ndiye uliyetoka relini. Chama cha siasa hakiwezi kuwa na agenda moja.
 
Payroll inafanya kazi.

Kumfumba mtu kinywa kwa kumlazimisha asiongee si kwamba amekubali ufanya, bali umemfanya asiseme.
Unaposema ameshughulikia mafisadi, na kero mbali mbali, je unaweza kutuwekea data na mifano hai ya uyasemayo?

Mfano:
Idadi ya mafisadi walioshughulikiwa na matokea yake chanya?
Elimu bure, kunashule nyingi hazina waalimu, watoto bado wanakaa chini, hamna vyoo kwa ajili ya watumishi na wanafunzi pia, na hii wakati wa ziara zake ilibidi ashike bakuli kuomba misaada/michango kufunika aibu.

Na mengine mengi
Elimu kwa Tz ndo kwanza inaanza. Watafika huko unakosema mana hata Roma haikujengwa kwa siku moja.
 
Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Utajili pekee anaomiliki kijana wa kiafrika ni simu ya smartphone
 
Kasi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo hali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Bure huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure hali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.
Duh! Tukio la MV Nyerere ndo linaishia hivo.
Sijui tutapata wapi tukio lingine ili tuendelee kujulikana kuwa tupo.
 
Hizi acrobatics and political mustarbation zinazoendelea zimeipa CDM fursa ya kufanya tathmini ya kina na kujipanga upya, ni kweli hakuna mtu mwenye akili aliyetarajia kwamba nchi ya Mwalimu Nyerere ingeshuhudia siasa za kishamba na kijinga kiasi hiki katika karne ya 21!!
Lakini mshtuko wa awali umepita, CDM itadumu, tunawaombea watesi wetu maisha marefu ili waje washuhudie kimbunga cha CDM, watesi wetu wa hakuna rangi wataacha kuona hususani vichaa vichaa wote, wanaokenua meno sasa hivi watalia na kusaga meno, sheria ya maumbile ndivyo ilivyo, haya ni mapito tu, CDM shall overcome.
 
Kuna msemo unasema "akiba haiozi". Lazima waje na sera na mbinu nyingine ya mapambano. Askari lazima aende kwenye mapambano na risasi nyingi sio karisasi kamoja vitani. CDM needs to be strategic katika politics. Ubunifu katika safu ya uongozi always ni very vital.
Ndo maana kwenye club za mpira ma kocha wanabadirishwa kuingiza ubunifu na namna tofauti ya kufanya kazi.
 
Nadhani

Wajifunze siasa za kiungwana. Huwezi kuwa ndani ya nchi yako alafu unasusia na kupinga kila kitu kinaofanywa na mweinzio just because of your political difference. Waige mifano ya wenzetu kama Amerika n.k mana wao wanajua wanajenga Amerika sio issue ya vyama.
Ukiwashauri wanakuona hufai.
 
Onesha zilipo 1.5t acha kuharisha hapa
Kalipwa Mbowe deni lake la kuiuzia CCM kiti cha URAIS 2015.
Umeshawahi kumsikia Mbowe akiziulizia hizo?
Hapo ndo ujue mwenzetu yupo kibiashara zaidi.
 
Back
Top Bottom