Kadi ya Rais Magufuli katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi kumewafanya wakosoaji wake wakuu Chadema kuishiwa pumzi. Chadema ilikuwa ikiamini katika vita dhidi ya ufisadi lakini Magufuli anapambana na mafisadi kivitendo Bali iliyowafanya Chadema wageuke kuwa watetezi wa mafisadi. Kwa upande wa elimu Burr huko Rais Magufuli ameshafunga kazi elimu ya msingi na sekondari ni bure Bali iliyowafanya baadhi ya wabunge wa Chadema kuvua magwanda na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kujiunga na CCM. Kimsingi Chadema imeshaondolewa relini na sasa imebakia kuendesha siasa za matukio.