wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 869
Leo wakati rais anarudi kutoka kwenye ziara za Mikoani, Amesimama Tegeta na Kuzungumza na Wananchi. Haya ni baadhi maneno aloongea;
“Kwenye madini tumeibiwa sana, nchi yetu ni kati ya nchi zinazoongoza kwa kuibiwa, tumeibiwa kwa miaka 18, sasa imetosha” Rais Magufuli.
Kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kusimama hapa Tegeta, nianze kwa kuwashukuru sana kwa kura nyingi mlizonipa ili niwe Rais
Rais Magufuli ameipongeza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kwa kuzuia udahili wa wanafunzi wote wa mwaka kwanza katika vyuo vikuu 19
Sent using Jamii Forums mobile app