Rais Magufuli aiagiza TANROADS kuacha kubughudhi wamachinga Mbezi mwisho jijini Dar

na wewe pia ni uvccm mamruki..ulijuaje habari za ndani ya chama??...yanakuhusu..??
mkuu usinihusishe na laana , utachafua hali ya hewa sasa hivi ! malalamiko ya njaa wanayaleta wenyewe humu na kuna mmoja ametimuliwa nyumba ya kupanga kwa kushindwa kulipa kodi kwa miezi 6 , kisa mshahara umezuiwa .
 
Magufuli TOAAA AJIRAAAAAAA,

UMACHINGA siyo KAZIIII

Kama AJIRA hutaki kutoa,

- Kwanza HESHIMU SEKTA BINAFSI

- Pili ACHA KUWATUMIA TRA Kisiasa

- Tatu, WaSajilie vijana makampuni yao BURE au weka affordable fees

- Wakianza biashara wape TAX HOLIDAY Miaka 10, na wakianza kupata faida WATOZE Reasonable taxes !

- Futa tozo zote KANDAMIZI zinazoua UJASIRIAMALI kama LICENCE TRA, SHERIA YA MTANDAO, KULIPATKODI KABLA YA BIASHARA n.k

- Saidia upatikanaji wote wa njia za kiteknolojia za kibiashara za karne ya 21 kama vile UPOKEAJI PESA KWA PAYPAL n.k

SAY NO TO UMACHINGA !

UMACHINGA NI KU-FAIL MISERABLY KWA SERA ZA CCM kwa MIAKA 50 SASA !

SAY NO TO UMACHINGAAAA


SAY NO TO JIWEEEE

SAY NO TO CCM
 
MAGU NI RAIS WA WATANZANIA WANYONGE NA MASKINI. TUMUUNGE MKONO
Napata taabu sana kuelewa tafsiri ya Watanzania wanyonge.
Wavamizi wa Uwanja wa Ndege Mwanza ni wanyonge na wameachwa waendelee na uvamizi.
Wale wa Pembezoni mwa Barabara ya Morogoro wamebomolewa, hao si wanyonge na kwa kuwa JPM ni Rais wa Wanyonge, yeye si Rais wao.
Utaifakwanza badilisha kichwa cha habari.
JPM AMEWAOMBA Tanroads, HAKUWAAGIZA!
Kuomba na kuagiza, kwa hakika, siyo neno moja!
Labda cha kujiuliza ni kwa nini Rais awaombe Tanroads, badala ya kuwaagiza, kama afanyavyo kwa Taasisi nyingine
 
Rais wa Wanyonge. Wapinzani wake hawapendi kuona mambo haya kabisa.
Hili la machinga kufanya biashara bara barani na kwenye vituo vya mabasi siyo sahihi, angalia pale gerezani palivyo pa hovyo baada ya kuwaruhusu kuuzia mle bidhaa zao.
 
aisee wale machinga pale walikuwa wananikera wanasababisha wapita njia tupunyuliwe na magar bodaboda alfu mzee baba ndo kawaruhusu daa c balaa hili
 
TANRODS acheni kuwabugudhi wamachinga wanaofanya biashara kandokando ya barabara...

Wamachinga acheni kufanya biashara katikati ya barabara...
 
Akiongea na wafanyabiashara waliosimamisha msafara wake eneo la mbezi mwisho jijini DSM muda huu Rais Magufuli ambaye pia ni DAKTARI WA FALSAFA ameagiza mamlaka zote jijini DSM hususani eneo la mbezi mwisho kuacha kuwasumbua na kuwakamatakamata wafanyabiashara ndogondogo wanaofanya biashara pembeni ya barabara. Rais Magufuli ameiagiza TANROAD KUHAKIKISHA INAACHA MARA MOJA KUWASUMBUA WAFANYABIASHARA HAO NA PIA AMEWAAGIZA WAFANYABIASHARA HAO KUTOKUFANYIA BIASHARA KATIKATI YA BARABARA KWANI KUFANYA HIVYO NI KUHATARISHA MAISHA YAO. RAIS AMEWAAGIZA WAFANYABIASHARA HAO KUFANYA BIASHARA PEMBENI YA BARABARA KWA MUDA WAKATI MAMLAKA ZA SERIKALI ZIKITAFUTA ENEO MAALUM LA KUWAPATIA KWA AJILI YA KAZI ZAO.

HATUA HII YA RAIS IMEKUJA BAADA YA WANANCHI KUUSIMAMISHA MSAFARA WA RAIS ULIOKUWA UNAPITA UKITOKEA KIBAHA MKOANI PWANI. RAIS ALITOA FURSA YA WANANCHI KUMUULIZA MASWALI NDIPO WAKAMWELEZA KERO WANAZOKUTANA NAZO WAKATI WANAFANYA BIASHARA ZAO.
Mikutano hii huandaliwa na viongozi wa mkoa walijuaje anakuja kisha wakajikusanya kwa waingi niliouona, madai ya kusimishwa ni siasa, mbona upinzani wakisimamishwa na wapigakura wao wanakamatwa!
 
Ukitaka kumfunga bao la kisigino mh rais wetu mvizie barabarani utapata majibu yake kirahisi na kusahau kuwa kile alichokuwa anakitolea majibu kunasheria inayokizuia kufanyika.
 
Unawezaje kusimamisha msafara wa rais ukiwa kwenye mwendokasi vile?
 
Back
Top Bottom