paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,501
Mkuu, kosa lake liko wapi sasa, kiasi kwamba uwe mjadala eti!!Hata kulihutubia Kanisa pia munampa kichwa
Magufuli alikuwa akilihadithia kanisa mambo ya Mwanae kujifukiza na kula malimao

. Kwani mule kanisani walikuwemo mbuzi? Nini maana ya hotuba ile kurushwa kwenye vyombo vya habari, kwani ibada za makanisa yote hupewa coverage ya vile? Magufuli ni Mluteri? Kama hakuhutubia TAIFA mbona na wewe usiye Mluteri umesikia?Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki
Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?
Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"
Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!
MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!
Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
Siasikia, nimesoma kwenye MEDIA tena UHURU.. Kwani mule kanisani walikuwemo mbuzi? Nini maana ya hotuba ile kurushwa kwenye vyombo vya habari, kwani ibada za makanisa yote hupewa coverage ya vile? Magufuli ni Mluteri? Kama hakuhutubia TAIFA mbona na wewe usiye Mluteri umesikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitakiwa alihutubie Taifa sio kuhadithia KanisaMkuu, kosa lake liko wapi sasa, kiasi kwamba uwe mjadala eti!!
Ndugai anajua boss wake anapenda maamuzi.ya "ukichaa kichaa" hivyo kauli zake zinapita humo humo kwenye reli . Zile bilioni 12 za India lazima zimfanye mateka wa bosi wake. Hana jinsi.Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki
Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?
Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"
Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!
MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!
Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
Kafiri Ni mpingaji wa diniUliposema "ibada ya makafiri" ndio umeharibu uzi wote,utapata uungwaji mkono na FaizaFoxy tu.
Kuna sehemu ameandika hivyo?Uliposema "ibada ya makafiri" ndio umeharibu uzi wote,utapata uungwaji mkono na FaizaFoxy tu.
MKUU RAISI ANA MANDATE KUBWA SANA ANAUWEZO HATA AKAHUTUBIA AKIWA CHOONI.
Umepotoka kidogo ndugu yangu, na unachofikiria kichwani kwako, kinyume chake ndiyo sahihi. JPM angeongea kuhusu mwelekeo wa ugonjwa kuisha akiwa nje ya Madhabahu ya Mungu, ingekuwa ni technical mistake kwa sababu tangu mwanzo, swala hili alimkabidhi Mungu. Ingekuwa kitu cha ajabu sana kwamba swala ulimkabidhi Mungu na amekujibu sawasawa na maombi yako, halafu unamsahau tena unatoka na kwenda kutangaza majibu ya Mungu kupitia jukwaa la Siasa, badala ya nyumbani mwake. JPM amefanya kitu ambacho ni SUPERB, na sina shaka kabisa hapa kuwa ni Roho Mtakatifu alimuongoza hivyo, kwenda kutangaza matokeo ya utendaji wake ndani ya nyumba yake, Kanisani mbele ya madhabahu ya Mungu na mbele ya watumishi wa Mungu.Hii ni credit kubwa sana na ya pekee mno kiroho, na Mungu atambariki sana tena kwa kitendo hicho.Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki
Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?
Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"
Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!
MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!
Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
Mbowe yupo right siku zote,na mngekuwa na uwezo wa kumpa umalaika mlishafanya kitambo ila sishangai alivyokuja Edo mlimsifu na kumpamba akuwa tena fisadi alivyofika kwenu.Hoja hapa ni Wakati Mbowe alipokuwa analihutubia Taifa Magufuli alikuwa akilihadithia Kanisa unakubaliana na mimi?
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki
Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya kuongea?
Magufuli alipopewa nafasi ya kusalimia KANISA, alianza kuongea kama kawaida yake kwa kujiamini kulipopitiliza na bila kujali yupo madhbahuni , aliongea maneno ya kejeli na dhihaka kwa WAPINZANI NA anao waita "Mabeberu"
Jiulize, alipoanza kuongea, baada ya dakika mbili, akiwa amevalia koti la suti la drafti/viboksi ,aliiingiza mkono kwenye koti lake la suti, mfuko wa ndani akatoa KIKARATASI-KIMEMO, akaanza kusoma "hints" na kugeuza "MADHABAHU TAKATIFU" kuwa jukwaa la SIASA, akapiga porojo alizojuwa " jambo hili ni kinyume na KANUNI ZA KKKT na askofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.
Yesu aliwatoroka wazazi wake, aliingia hekaluni, akakuta mafarisayo wanafanya BIASHARAAKAPINDUA MEZA ZAO NA KUWAFURUSHA, akawaambia IMEANDIKWA NYUMBA YA BABA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NA SI PANGO LA WANYANGANYI!
MBOWE ni mlutheri, alikwenda kanisani kusali , hakuomba kufanya siasa wala hotuba, anafahamu neno la Mungu linakataa kufanya hivyo hasa pale unapodanganya kwa maslahi binafsi kama takwimu za corona zinavyofichwa.
MBOWE AHUTUBIA TAIFA, MAGUFULI AHUTUBIA KANISA!
Spika Ndugai anakuja kusema Mbowe hana heshma kuzungumza baada ya Raisi/Magufuli kuhutubia, Swali kwa Ndugai,MBOWE alikuwa ahutubie toka juma lililopita mkamkamata mkamuweka ndani, na kutaka kujua ataongea kitu gani, mkamuachia na siku ya JUMAMOSI CHADEMA walitoa ratiba yao na kusema JUMAPILI SAA SABA MCHANA ATAONGEA NA WATANZANIA, habari ya Magufuli ATAHUTUBIA KANISAL LA KKKT HAIKUTANGAZWA na hakuna aliyejua, sasa nani kavamia hotuba ya mwenzake?
kipindi anazindua msikiti wa kinondoni unakumbuka hali ilikuwaje,au upweke unakisumbua mama angu!!!!Vyombo vya habari vilitulazimisha kumuangali yeye tu HUKO MADHABAHU YA KKKT, wewe kupitia TBC ulikuwa unampata GWAJI-BOY mzee wa TOTOZ?
mbowe kahutubia taifa gani???Hoja hapa ni Wakati Mbowe alipokuwa analihutubia Taifa Magufuli alikuwa akilihadithia Kanisa unakubaliana na mimi?
Mwambie Askofu namsalimia sanaaskofu mkuu Shoo ameona hilo na hatua kali zitachukulia hivi karibuni.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniambowe kahutubia taifa gani???