chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,148
Aangalie, huu utaratibu wa kuhutubia kanisani, unaweza igwa na marais wajao, itakua shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhahiri !Hoja hapa ni Wakati Mbowe alipokuwa analihutubia Taifa Magufuli alikuwa akilihadithia Kanisa unakubaliana na mimi?
Hivi Magufuli ana cha kuigwa na mtu ?Aangalie, huu utaratibu wa kuhutubia kanisani, unaweza igwa na marais wajao, itakua shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Atazipata, MATAGA wata-screenshot wamtumie, MAKONDA namfahamu huyu baba vizuri alipojaribu "kujimwambafai mwambai pale Moshi Luthern churchMwambie Askofu namsalimia sana
Hapana anti wangu, NAKUMBUKA TU KUWA HAO MASHOSTI WAWILI WAMECHOTAFEDHA ZA GSM na kuzitakatisha kwa kuchangia sehemu sehemu, shosti mmoja alisema "fedha za marafiki zangu"kipindi anazindua msikiti wa kinondoni unakumbuka hali ilikuwaje,au upweke unakisumbua mama angu!!!!
Aibu sana, kama anamwamini YESU, malimao ya nini?Hata kulihutubia Kanisa pia munampa kichwa
Magufuli alikuwa akilihadithia kanisa mambo ya Mwanae kujifukiza na kula malimao
Kwa CCM eeh, kajambe ulale, hiyo mandate amepewa na katiba ama anaamua tu kama Ndugai?MKUU RAISI ANA MANDATE KUBWA SANA ANAUWEZO HATA AKAHUTUBIA AKIWA CHOONI.