kujenga barabara sio moja ya vipaumbele vya Taifa?... ifike mahali tuamue kama taifa, kama sherehe hizo hazifai tuzifute fedha zielekezwe kwenye vipaumbele vya kitaifa....
Anyhow, screw the Muungano!
Kizanzibar hiki kinatu cost sana Watanganyika, sijui kina add value gani katika nchi hii hiki ki Zanzibar. Watanganyika tuamke!