Rais Magufuli afanya Ziara ya Kikazi Kagera, ahimiza kilimo cha kila Mazao

Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
Eeeh mwaka wa 6 huu bado anakusanya kero za wananchi?
 
Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
Hivi ukipewa Chanjo ya CORONA ( COVID-19 ) unatakiwa Kukaa muda gani bila Kusafiri kwani nina Rafiki yangu kutokea China ananiletea ili nisife.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kazini Kwenye Majukumu Yake
 
Angeanza kushughulikia tatzo la bei ya sukari, mafuta, sementi angekuwa amefanya jambo la muhim zaid ya kuchoma kodi zetu kwenye msafara wa magari 100 for nothing
Hii ni mechi kati ya Sifa za Kishamba vs Maslahi ya Taifa
Tusubiri kuona akigawa fedha kama hayati Haile Sillasie njiani
 
Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge

Rusahunga rusumo ataipitia safari hii?

Au huko jembe linageuka kuwa dekio?
 
Zama za kipara kuwa alama ya busara hazipo tena. Kuku kishingo chake ki shingoni. Chako cha kupaste. Walimpa kura za kishindo kwa sababu aliwafumbua macho kwa ukweli kwamba tetemeko halikuletwa na serkali. Waliaandaa wahuni kumpongeza. Kwa kukosa akili wapongezaji unawaita wahuni. Nileteeni Gwajima Kawe. Nileteeni kura za kishindo Kagera. Tawire!!
 
Back
Top Bottom