Rais Magufuli afanya Ziara ya Kikazi Kagera, ahimiza kilimo cha kila Mazao

Mbowe na Bashiru Ally tunda la Ihungo kodini hata ndege nendeni kwenye hiyo shughuli
 
Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
Kueleza shida zao barabarani? Something is wrong. Ina maana watendaji wake hawajui wanachofanya
 
Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
Jamani, mbona Wakati wa Kampeni walimweleza? Au inabidi awape ahadi tena
 
Mheshimiwa Rais yupo njiani kuelekea Mkoani Kagera akitokea Chato Mkoani Geita alikokaa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka

Maelfu ya Wananchi wamesimama njiani wakiwa na hamu ya kumuona na kumueleza shida zao mbalimbali Kiongozi huyo Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
Hivi ni huyu aliesema Kagera UKIMWI kwenu?
Hivi ni huyu alifunga vyou vikuu viwili pale Jokuco na Camuruco?
 
Back
Top Bottom