Rais Magufuli aeleza sababu za kutosafiri nje ya nchi

Tanzania kwa sasa imekuwa kijiji kimoja kikubwa sana chenye watu 56 millioni kikiongozwa na VEO. Hahitaji kusafiri kwenda nchi zingine labda vijiji vinavyofanana na Tanzania.
Hivi zile million 50 kila kijiji naomba mrejesho kwenye kijiji Chako umepata
 
Kwa hiyo hao marais wanaokuja Tanzania nchi zao zilishatatua kero zao zote!?
Kwa waliosoma kwa kukariri na kutopenda kufikiri nje ya box safari hii tunalo!
 
Bali alichaguliwa kujenga Airport chato, Kujenga TRA chato, kujenga CRDB chato kununua madiwani, kufunga wapinzani jela, makada waccm kuwaweka kwenye kusimamia uchangu na next kufanya chato kuwa mkoa.
 
1. Lack of Leadership Exposure..

2. Poor in International Diplomacy..

3. Language Improficiency..

Hizi ndio sababu kubwa 3 zinazomfanya huyu bwana aogope kabisa kwenda Nje ya Tanzania (hasa Europe and America).
Akiwanavyo hivyo vitaleta maji kijijini kwenu !?
 
Tatiz9 linalofuata baada ya kutoza kodi kubwa mafuta ghafi ni kupanda sana bei ya mafuta ya kula kama vile kwenye sukari mwaka juzi . ninaona bei kwa mlaji julai itapanda bei msra mbili. Ka bei itapanda hivyo itachukua miaka 3 kwa uchache kuweza kuzalisha kutoka tani 135000 hadi 450,000 .
Shida hafikirii mbali na hua ana mentality ya kila cha nje au private ni adui,badala ya kuhakikisha kua tunafikia kiwango cha kutengeneza mafuta ya kutosha then ndo apandishe kodi, yy anapandisha kodi ili hali demand haijafikiwa, It's like ishu ya sukari haijamfundisha chochote. Mbaya zaid kuna mijitu utakuta inapiga tu makofi
 
1. Lack of Leadership Exposure..

2. Poor in International Diplomacy..

3. Language Improficiency..

Hizi ndio sababu kubwa 3 zinazomfanya huyu bwana aogope kabisa kwenda Nje ya Tanzania (hasa Europe and America).
Yes you are 100℅ collect mwanangu.Kwanza he already said that he is not a politician but chemistry man whom can count even fish of Indian Ocean and group them by their species.
 
1. Lack of Leadership Exposure..

2. Poor in International Diplomacy..

3. Language Improficiency..

Hizi ndio sababu kubwa 3 zinazomfanya huyu bwana aogope kabisa kwenda Nje ya Tanzania (hasa Europe and America).
Pointi namba 3 inaonesha jinsi ulivyo . jaribu kuficha ujinga wako
 
Magufuli ametembelea Kenya, Uganda, Rwanda na Ethiopia katika kipindi chote cha utawala wake huku akitimiza miaka miwili, miezi minne na siku saba tangu aapishwe kuwa Rais wa Tanzania Novemba 5, 2015.

“Nataka Tanzania yote niizungukie ndiyo maana sitaki kwenda nje, maana huko si kwenye jimbo langu, jimbo langu mimi ni Tanzania. Nimekataa mialiko zaidi ya 70. Niende nje kufanya nini wakati sijamaliza kutatua kero za wananchi.”

Alisisitiza kuwa hana haja ya kwenda nje ya nchi kwa sababu bado ana mzigo mkubwa wa kumaliza ufisadi. “Niende nje kufanya nini wakati nitaenda tu nikishastaafu, nataka nimalize kwanza haya ya hapa ndani,” alisema pia mwaka jana mjini Sengerema.

Kenya, Uganda, Rwanda na Ethiopia ni sehemu ya Jimbo lake? Huko alienda kufanya nini?
 
KWANI NANI KAMCHAGUA ILI AENDE 'CHATCO' KILA MARA AU UGANDA AU RWANDA... HUKO IKULU SKU HZ HOTUBA HAZIANDIKWI?
 
Shida hafikirii mbali na hua ana mentality ya kila cha nje au private ni adui,badala ya kuhakikisha kua tunafikia kiwango cha kutengeneza mafuta ya kutosha then ndo apandishe kodi, yy anapandisha kodi ili hali demand haijafikiwa, It's like ishu ya sukari haijamfundisha chochote. Mbaya zaid kuna mijitu utakuta inapiga tu makofi
hivi alivyosababisha sokomoko la sukari mmesahau? au alivyotamka aliikuta bei ya sukari Tsh 5,000?
 
Back
Top Bottom