Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

JPM yupo sawa na aendelee..sijui hata kwann nimesoma hii post nimeishia kuchefuka tu
 
Sijakuelewa mto mada umeandika lugha gani? tatizo lako ni nini haswa? Tulia dawa iingie, Hapa kazi tu !
 
I'm thory... nime trespass. ..
 
Kati ya wewe na JPM, ni nani anaielewa vizuri serikali na utendaji wake? Huyu jamaa alishakua kwenye baraza la mawaziri la huyo unaedai anadhalilishwa. Acha ajitetee mwenyewe mkuu.

JPM anajua adha aliyoipata wakati wa kampeni na kumbuka ana muhula wa pili tena sidhani kama yuko tayari kuzomewa kwa mara nyingine. Na kwa kua kwenye kampeni alijiuza yeye kama yeye, atahakikisha anatekeleza ahadi zake hata kama itamaanisha kuwakosoa watangulizi wake. Mkitaka apunguze kasi hakikisheni hagombei urais muhula ujao.

Labda ndiye yeye mwenyewe hapo ndo anajitetea boss
 
Kila zama zina mambo yake. Rais Dkt Magufuli apige kazi kibandidu hivi hivi ili nchi inyooke...Usugu uliopo serikali sio wakusafishwa kwa dodoki tena...ni mwendo wa steel wire tu na Dkt Magufuli anajua hilo.

Ikichapwa steel wire for ten years ikajumlisha na katiba elevu..

Tanzania itakuwa better in two decades to come
Bravo dkt jpm
 
Ulijua UKAWA ndio wataisoma namba? Haaa you dead wrong my nikka mtanyooka sana mlikuwa mnaishabikia ccm kwa kuwa mlikuwa mnakula kuku kwa mrija kwa kulindwa na kupeana mashavu na Mfumo ,sasa magufuli anaziba mirija unaanza kupiga yoweee tulia hapa kazi na mabadiliko.

Ha! Ha! Ha!
Maisha mazuri napenda saaana kuona ukweli...mkuu hapa umegusa maisha ya wengi..

Walishangalia saana na kutukana hawakujiuliza kwanini upinzani ulikuja na ukapata wafuasi?
 
Ningekuelewa ungesema Magufuli atapata asilimia 99 lakni sio ccm maana watz sasa wanataka mtu wala sio chama maana aliyetufikisha hapa ni chama na JP anajaribu kututoa kwenye tope

Hilo nalo neno
 
kwenye kasi hiii inabidi Mwanasheria mkuu awe makini watu wasijeenda mahakamani wakaigaragaza serikali tukazidi kupata hasara.

Husihifu Hierarchy itafanya kazi..
Mwanzo kulikuwa hakuna hierarchy kila mtu ana maamuzi si ndo maana jamaa mmoja akajenga nyumba katika channel dedicated ya dawasco kuleta maji dsm...
Katufanya raia tukae 4month na zaidi bila maji...
Alivyo jeuri alitinga court..

Sasa officially his house is down na ataisoma namba..
Hierarchy kila mtu alinde ajira yake...
Sample umeiona kwa mh. DC kinondoni

Samplying kule kawe
 
Kwa upande wa miradi ya ujenzi tu, unajua kuna wakandarasi wangapi wanaidai nchi hii na miradi mingapi imesimama kwa ajili ya hilo? Unajua kuwa Serikali inadaiwa hadi stationary! Leo hii unasema safari za nje zilikuwa na tija! Alipoenda na wafanyabiashara 500 nje ya nchi kwa gharama za serikali kama Taifa tulipata faida gani, acha ujinga wewe.
 
nani sasa?
 
Kati ya wewe na JPM, ni nani anaielewa vizuri serikali na utendaji wake? Huyu jamaa alishakua kwenye baraza la mawaziri la huyo unaedai anadhalilishwa. Acha ajitetee mwenyewe mkuu.

JPM anajua adha aliyoipata wakati wa kampeni na kumbuka ana muhula wa pili tena sidhani kama yuko tayari kuzomewa kwa mara nyingine. Na kwa kua kwenye kampeni alijiuza yeye kama yeye, atahakikisha anatekeleza ahadi zake hata kama itamaanisha kuwakosoa watangulizi wake. Mkitaka apunguze kasi hakikisheni hagombei urais muhula ujao.

umenena mkuu
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.
Hebu tuambie, ukiona mtu amevaa suti anaiba, hivi utapiga mayowe MWIZII, MWIZIIIII!!
 
Watu wapumbavu km ww hamustail kuitwa mwanaume inainekana mawazo yko ni Finyu sn ! Hv hao mawazir weng ktk uongz wa JK wameleta mafanikio gn ktk taifa ww boya,fanikio la Escroww au mku.........ww
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

kubwalata gweye!
 
Back
Top Bottom