Mtegowanoti
Member
- Oct 25, 2015
- 36
- 27
Mleta uzi apelekwe Milembe
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.
Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.
"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.
Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.
Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.
Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.
Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.
Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.
Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.
Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.
Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.
Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .
Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.
duuuh sasa kma safari za nje zimeleta fedha deni la taifa zimeongezeka kwa 33trillion hpo huoni usemalo sio kweli.....jk amejenga barabara plus majengo mpya muhimbili ila serikali yke imefanya ufisadi mwingi kuliko serikali za awamu zote.......kuchagua washkaji kua mawaziri hata kuwakemea alishindwa mkataba wa buzwagi waziri ulikua signed hotelini london......bunge likambana waziri yeye akamtetea kwa urafiki wao
Kila zama zina mambo yake. Rais Dkt Magufuli apige kazi kibandidu hivi hivi ili nchi inyooke...Usugu uliopo serikali sio wakusafishwa kwa dodoki tena...ni mwendo wa steel wire tu na Dkt Magufuli anajua hilo.
Una shida kubwa ya kufikiri. Unataka raisi awe kama raisi wa zamani(uniformity)? Huko ni kusimamisha maendeleo ya nchi.Na kwa mtazamo huo finyu hakuna haja ya kufanya uchaguzi mkuu. Ni pia kuchukua likizo ya kufikiri. "New king, new rules". Hata Kikwete aliingia Ikulu na sera zake. The same applies to Mwinyi and Mkapa. Note: Umuache Magufuli atekeleze majukumu aliyopewa na watanzania.Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.
Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.
"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.
Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.
Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.
Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.
Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.
Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.
Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.
Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.
Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.
Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .
Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.
Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.
"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.
Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.
Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.
Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.
Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.
Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.
Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.
Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.
Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.
Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .
Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.
asante.
Kwa sasa itakjuwa ni vigumu sana watu kukuelewa. Inatka uwe na moyo kama wa mwendawazimu kuyaandika haya kwani watu wengi sio critical thinkers wao wanakumbwa na upepo tu. Mengi uliyoyaandika mimi nimeyaelelewa ingawa mwanzoni hata mimi nilikuwa naona na nguvu ya JPM. Hapa wengi watakuona umetumwa au unamtetea JK lakini mimi naona kuna mambo mengi ambayo sisi wananchi huwa tunakuwa hatujui na badala yake tunaishia kushabia tusiyoyajua. Shida ni kwamba mambo mengi ya serikali huwa yanafanywa kwa usiri mkubwa hivyo yanapokuja kwetu tunareacct kulingana na anayetuletea. Mfano hizo ziara nyingi za JK watu wasingepiga kelele kama kungekuwa na uwazi kuwa kwa mfano rais ameenda safari fulani kwa gharama ya mfao milioni 500 na msaada ua tulichopata kutokana na ziara hizo ni bilioni 5 Ilitakiwa atokee mtu atwambie jumla ya safari za JK nje ni hizi na jumla ya gharama alizotumia ni hizi. Hapo tunategemea alichopata katika kuhemea kwake vibaba kizidi gharama alizotumia kwenda kuhemea. Lakini kama itakuwa ameenda maziara mengi kwa gharama kubwa halafu tukaambulia sifuri au kiasi kidogo kuliko tulichotumia hapo itakuwa hasara. Pesa zinazotumika katika ziara hizi ni zetu lazima watwambie gharama na mapato ili tukokotoe isije kuwa tunauza ng'ombe ili tushinde kesi ya kukuSina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.