Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.
kwani kaka ulidhani kuisoma namba wataisoma wapinzani tu,msumeno hukata huku na huku.
 
Magufuli selemaaaa... arejaaa.
Magufuli selemaaaa.. arejaaa

mamaee mmeanza kulialia tulia wewe , hapa kazi tu na kazi yenyewe ni ile wanayoitaka wanainchi zama za ushikaji serikalini zilishaga kwishaa, we are in new era na huo mwanzo tu..
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

Kamdhalilisha? Bado hujaona kwamba wananchi ndo wanadhalilika kulala chini na miguu iliyowekwa vyuma??
 
Akili za mende. Magufuli hoyeeeee. Ninataka amvue Nguo. Amulikwe na familia yake na akikutwa msafi nitashangilia. Akikutwa mchafu sheria ichukue mkondo wake. Ikulu siyo kitengo cha biashara. Akimalizana na mafisadi aingie kwa malodi wa dawa za kulevya. Hapo tutaheshimiana.
 
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.

Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.

"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza Muhimbili na kumwondoa mkurugenzi na bodi ingawa bodi ilishamaliza muda wake na mkurugenzi kahamishiwa wizarani tu wala hajafukuzwa.

Ikulu ikadai Magufuli alikasirishwa sana kukuta mashine za MRI hazifanyikazi ndio maana kaisimanisha bodi,Lakini jana kupitia Azam Tv Katibu mkuu wizara ya Afya Bw.Mbando alisema mashine haikutengenezwa kwa sababu Magufuli alisema bali ilikuwa tu kwamba akivyotenbekea pale mchakato wa kuikarabati mashine ulishakamilika.

Alisema tatizo lililokuwepo ni kwamba Phillips wanaidai serikali zaidi ya bil 7 ndio maana waligoma kuitengeneza hiyo nashine.

Sasa mchakato wa kupunguza deni ndio ulikuwa unaendelea na zilishapatikana bil3 kutoka hazina walizolipwa juzi hao Phillips ndipo wakakubali kuja kuifanyia mashine ukarabati.

Na hili linaleta maana zaidi kwa sababu wizara haiwezi kutoa bil3 ghafla tu bila kuwa zilikuwa kwenye mchakato.

Kwa hiyo hapa ikulu ilifanya usanii wa hali ya juu kuwaaminisha watanzania kwamba kulikuwa na uzembe pale muhimbili wakati uzembe ulikuwa serikalini. Serikali ilishindwa kulipa deni kwa wakati.

Na inasemeka hili jambo halikumfurahisha Kikwete kwa sababu lilipeleka picha kwamba serkali yake ilikuwa goigoi.

Wakati yeye anasema amefanya juhudi kubwa kuiboresha Muhimbili. Na kwamba tatizo km la juzi linajulikana kwamba ni ukata na ufinyu wa bajeti ndio kikwazo.
.Safari za nje zimeiletea serikali fedha ambazo zimetumika kujenga barabara, kuboresha miundombinu ya umeme,ujenz wa bandari mpya, ujenzi wa chuo kikuu cha tiba na mambo mengi sana kwa juhudi za kikwete.
" kuna watu wamesafiri nje kuliko safari za kwenda kumsalimia mama yake" kauli hii ya magufuli haivumiliki na kauli iliojaa jeuri.

Kila kilichofanywa na kikwete kuonekana ni tatizo kwa mh magufuli.

Kikwete aliunda baraza kubwa la mawaziri ili kurahisisha kuwahudumia wananchi kuliko kuwa na wizara chache kwa watu. million 50
sasa magufuli kudai kunawizara nyingi atazifuta naona lengo ni kuonyesha kuwa utawala wa kikwete ulikuwa dhaifu .

Conclusion.
Haina haja kudhalilisha uongozi uliopita ili uonekane u nafanya kazi. rais kama unapitia hapa JF kuna wanachama hawako satisfied kwa namna unavoenenda.

asante.

We akili yako itakuwa si nzur ndugu.....hiv pamoja na kuongea kooooote kwa rais kuwa serikali yake haitakuwa na tume..michakato na upumbavu unaofanana na huo yan wewe bado unaleta tena hapa bila haya hiyo misemo....tafadhal!! nadhan wewe si mtanzania hebu tuache na tanzania yetu.....huyo Jk alifunga mpaka mawazir wa mkapa hukupiga kelele....leo JP anapiga kazi unaleta domo....kimya!!
 
Magufuli chapa kazi baba#majungu waachie watu wa pwani.
 
Alishaawaambia yeye anajua jinsi ya kutumbua majipu, vumilia tu dawa ya jipu ni kulitumbua japo linauma ila hakuna namna inabidi litumbuliwe tu.... Mwacheni ayatumbue go! go! go! My Hon President
 
Safi sana naona pro-Chadema wote wamerudi CCM daah!!.

Hii hatari sana.

#Hapakazitu#
fuatilia kidogo tu,mtoa mada ni ccm.halafu kiapo chako cha kumtetea jk kili-expire?mana haya yanayofumuliwa ulikuwa ukiyatetea na povu debe.haya tetea Dr.Dau kwa mara ya mwisho,next wiki uje umgeuke coz Magufuli atatinga pale na media
 
Mleta Uzi itakuwa umefungshwa virago, au upo njian kutolewa mkukumkuku...namba ndo hiyo ushaisoma....
 
Siku akiingia kwa dr Dau ndo nitajua kadhamiria kusafisha
 
Ni vema ungetumia muda huu kuwashauri watendaji wabovu waliozoea kufanya kazi kwa mazoea na ujanja ujanja waanze kuamini mabadiliko yamefika na hii ni awamu ya 5, awamu ya 4 imekwisha. Kwa haya tunayoona ni kama serikali haikuwepo. Rais anapoahidi atatumbua majipu halafu wengine ndo wanayavimbisha unategemea nini?. Kama ni aibu basi mtu alijitengenezea.
 
Wanachama hamko satisfied!!!? Okay! Teh! Endeleeni kuisoma namba. Bila sheria mbovu ya viti maalumu, naamini nyie wanachama wengi mngelala njaa awamu hii!!!

Ngoja nikukumbushe kauli hizi za mheshimiwa rais, ili ujue chama sio kipaumbele kwake:
1. Chagua Magufuli kwa mabadiliko ya ukweli.
2. M4C ndugu zangu ni,"Magufuli for Change."
3. Nipeni kura wana Cuf, Chadema, Nccr, Udp niwatumikie.
4. Nipeni mimi kuzungusha mikono ya maendeleo, ninaweza kuzungusha hata mara 50.
5. Nimteue waziri wa maji halafu asilete maji, yeye ndiye atageuka maji.
6. Mafisadi watafute nchi ya kwenda (Tunajua mafisadi wana kadi ya chama).
7. Uchaguzi umeisha, rais ni JPJM Hapa kazi tu. Nk...
Wengi hawakumwelewa alipokuwa anasema M4C walidhani ni Magufuli for CCM.
 
Mtoa mada kumbuka jipu ili lipone inabidi litumbuliwe., na likitumbuliwa lazima litoe damu na liume!! Tuvumilie tu jamaa anatumbua majipu!!
 
Back
Top Bottom